Huu sasa utani, kabla hata hajakaribishwa rasmi tayari keshaanza kuongoza Chama kwa maagizo. Akiingia si ndiyo ataanza na kufukuza wanachama, ili abaki na aliohama nao.
Ukiwa vitani...msaada wowote unaokusaidia kumshinda adui ni msaada tosha....cha muhimu tu ni kuangalia kwa jicho la ndani sana na kutafakari kwa kina kwani misaada mingine huwa ni ya kimamluki...
sababu mufilis kabisa hiii,nina imani unatania tuu,ila km upo siriaz ww kichwani ni boks,yaan mweupe.
Kumchukua ayatol...a negative ni nyingi kuliko positive impact
Kama Lowassa anataka kupewa fursa ya kugombea asiwape wenzake masharti otherwise arudi CCM tuone maana Zitto ni tapeli aubaingie ACT agombee lkn co kubebwa alafu unakuwa na masharti ya kijinga.
Chadema wakimrudisha Zitto kwenye kambi yao na withdraw support yangu kwao