Lowassa amtaka Gavana wa Benki Kuu kueleza kwanini mfumuko wa bei haushuki

EL akipata nafasi ya kugombea urais kwa tiketi ya CCM sijui itakuwaje!!nawaona watu wa mrengo wa shoto wakikimbilia nje nchi maana hapa patakuwa hapatoshi tena
 
Kuna ubaya Gavana wa benki kuu kuelezea hali ya uchumi na mambo ya mifumuko ya bei?
In fact huyu jamaa alitakiwa kila mwezi atoe taarifa kwa umma kuelezea hali ya uchumi na hii mifumuko ya bei.
unless you have other ideas

Hakuna ubaya, lakini kwa nini huyu bwana atoe sababu zizsizo za ukweli katika mazingira ambayo hata yeye anakiri hajui sababu? Lowassa kila siku anashusha heshima yake.
 
Mbopo ushatoka marekani,vip RAMADHANI IGHODU umerudi nae,naona mulienda kula shushu kidogo naona baada kufanikisha la ulimboka,haya bana kuleni maisha tu la msingi kumbuka mungu yupo,na malipo hapa duniani damu ya ulimboka lazima itawarudia.
 
Jamaa sasa anazungumzia suala la kukopa against reserve za gesi na anatoa mfano wa Ghana. Nashindwa kuelewa kwamba Ghana sasa hivi inakabiliwa na tatizo la kulipia interest kwa bonds walizo-issue against reserves za mafuta na sasa wanajuta. Hivi huyu bwana amefanya utafiti kweli? Anajua kwamba huko anakodhani ni success story sasa wanajuta?
 
Mbopo ushatoka marekani,vip RAMADHANI IGHODU umerudi nae,naona mulienda kula shushu kidogo naona baada kufanikisha la ulimboka,haya bana kuleni maisha tu la msingi kumbuka mungu yupo,na malipo hapa duniani damu ya ulimboka lazima itawarudia.

Hivi huyu Mbopo aliyekwenda Marekani ni nani hasa? Anahusikaje na suala la Ulimboka?
 
Huyu mzee confo kwisha anakidesa chake mfuko wakienda short break anachabo studio wamerusha hewani live na kidesa.......Ingekuwa na maana basi anatuletea story ambazo hata vijana wa vijiweni wanayajua.
 
Mamvi anawaada watanzania anazungumzi malipo ya dola hivi zile capacity charge za ile mitambo ilikuwa inafanyika kwa Shillingi?
 
KAaka mie mwenyewe namkubali sana EL, isipokuwa nanisikitisha sn anapokuwa anaurafiki na waswahili na movement zake anawashirikisha wanamuhalibia kiaina...utaona hata wapambe wengi wa washwahili humu hawamfagilii EDO japo ni CCM mwenzao jamaa wakiwanae wanajifanya waponae wkitoka wana promote campain za kumchaafua sijui halioni hilo yaani Mh. EL watose waswahili wako seriously sio kiusanii wananchi watakuelewa...lkn ukikazana kudhaniw aswahili ni best zako haya wanakumaliza kwa ujanja sn.
 
Kuna ubaya Gavana wa benki kuu kuelezea hali ya uchumi na mambo ya mifumuko ya bei?
In fact huyu jamaa alitakiwa kila mwezi atoe taarifa kwa umma kuelezea hali ya uchumi na hii mifumuko ya bei.
unless you have other ideas

Mimi kwa mara ya kwanza nakubaliana na wazo la Lowassa kuwa let us have a national debate about the way BOT is trying unsuccessfully to tame this inflation; the figures they feed us are not realistic ,I am sure Ndullu and his gang are cooking these figures!! Remember this is the BOT governor who had to be taught by wabunge that we are safer as a nation to keep our reserves in the form of GOLD instead of foreign currencies!! We can get new ideas of how to tame this inflation monster from other monetary specialists of which the governor is not!!!!!!
 
Kuna ubaya Gavana wa benki kuu kuelezea hali ya uchumi na mambo ya mifumuko ya bei?
In fact huyu jamaa alitakiwa kila mwezi atoe taarifa kwa umma kuelezea hali ya uchumi na hii mifumuko ya bei.
unless you have other ideas

Kila mwezi kuna kitu inaitwa Monthly Economic Review (MER) inatolewa na bot inatoa figure za growth, inflation, interst rates na financial sector perfmance. Tembelea website yao, gavana anajua Kuwa mnajua ndio maana haoni haja ya kutoa tena tarifa nyngne separate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…