Benki ya Zimbambwe yazindua sarafu ya dhahabu kudhibiti mfumuko wa bei

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
495
621
Benki kuu ya Zimbabwe imezindua sarafu za dhahabu katika juhudi za kukabiliana na ongezeko la mfumuko wa bei huku sarafu ya nchi hiyo ikizidi kushuka thamani

Kiwango kikuu cha riba cha benki kuu kimefikia 200% mwezi Julai, baada ya kiwango cha mfumuko wa bei kupanda zaidi ya 190%

Gavana wa Benki hiyo, John Mangudya amesema kuwa Kila sarafu itawekwa bei kwa kiwango cha soko la kimataifa kwa wakia (ounce) moja ya dhahabu pamoja na 5% kwa gharama za uzalishaji na pia zitaweza kutumika madukani, ikiwa zitakuwa na chenji ya kutosha……………………….Zimbabwe's central bank has launched gold coins in an effort to help curb soaring inflation amid a slump in the country's currency.

The central bank's main interest rate was more than doubled this month to 200% after the annual rate of inflation rose above 190%.

Each coin will be priced at the international market rate for an ounce of gold plus 5% for production costs.
As of Friday, an ounce was worth about $1,724 (£1,435).

It will be possible use the coins in shops, if they have enough change, according to the governor of the Reserve Bank of Zimbabwe, John Mangudya.

The coin is called "Mosi-oa-Tunya" which means "The Smoke Which Thunders" and refers to Victoria Falls, on the border between Zimbabwe and Zambia.

Zimbabwe's dollar slumped in value against major currencies this year. The country still remembers the economic chaos under the late Robert Mugabe, who ruled for almost four decades.

Hyperinflation forced it to abandon the Zimbabwe dollar in 2009, and it opted instead to use foreign currencies, mainly the US dollar.

During the worst of the crisis the government stopped publishing official inflation figures but one estimate put the inflation rate at 89.7 sextillion percent year on year in mid-November 2008.

At the time, the one hundred billion Zimbabwe dollar bank note was seen as an emblem of the nation's economic collapse.

The local currency was reintroduced a decade later but it has rapidly lost value again.

Source: BBC
 
Messenger RNA

Senior Member
Jul 24, 2022
137
342
Mara paap! Balozi siro anamwambia mfanyakazi chukua gunia mbili za noti kanunue mikate.Daa! Mfumuko wa bei sio wa kuombea.
 
4by94

JF-Expert Member
Oct 1, 2019
3,618
2,710

tunaicheka Zimbabw ila after kipind fulan kupitia matatizo yao wanaweza kuja na best solution itakayo wafany wawe bora zad yetu tena mbali sn , ttzo la Zimbabwe lipo Tanzania pia ila waafrika we cant analyse our problems mpk mzung aseme , hii ilipaswa ianzie kwetu pia tuanze kuangalia solution tusifike walipofikia Zimbabwe
 
KISIWAGA

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
7,406
14,967
During the worst of the crisis the government stopped publishing official inflation figures but one estimate put the inflation rate at 89.7 sextillion percent year on year in mid-November 2008.
Majamaa yalifika hatua ya kuogopa mpaka kuchapisha taarifa za mfumuko wa bei
 
smaki

JF-Expert Member
Jan 23, 2019
4,201
2,538
MBONA ZIMBABWE MABEBERU WAMEIKOMALIA SANAAA!! KWA NINI IKO PALE??? SIYO BURE HAWAKATI TAMAA HAYA MAJITU! .....SADDAC STUKENI BANA..........muiunge mkono zimbabwe mpaka kieleweke mahindii chakula pelekeni huko!

lazima tuwaunge mkono wenzetu tulio wakomboa kwa damu! vijana mkaoe huko mlete damu hiyo humu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom