Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,701
- 6,930
Huyo mama yawezekana lilikuwa ni chaguo la Jk, hivyo kuidanganya Team Lowassa baada ya kumwaga mboga ya kuku mezani isimwage ya majani ikabidi amtaje Lowassa ili ionekane JK hausikii; ila kwa sababu team Lowassa walikuwa very agile wakamwaga mboga zote.