Lowassa amponza Balozi Amina Salum Ali

Lowassa amponza Balozi Amina Salum Ali

Rio Tinto

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2014
Posts
777
Reaction score
452
Daaah kweli Kikwete amedhamiria kuvunja mtandao kwani huyu Mama Balozi amefikishwa katika tatu bora na kambi ya Lowassa...Ndio basi tena ameshaharibu
 
kama ndo ivyo basi angempa migiro.
"ushabiki sana hupunguza uwezo wa kufikiri"
 
Alichemka pale aliposema mkinichagua nitamshirikisha Lowasa kwenye serikali yangu. Nikamchukia ghafla hata kama mimi sio mjumbe wa vikao vya CCM.
 
Daaah kweli Kikwete amedhamiria kuvunja mtandao kwani huyu Mama Balozi amefikishwa katika tatu bora na kambi ya Lowassa...

JK Ni Jasusi ALIYETUKA Na MWANADIPLOMASIA Anayejua MICHEZO Yote Ya Hatari Na Kwa Mambo Aliyonifanyia Dodoma Kwa Kumbana Lowassa Na Mtandao Kila Pembe NIMEMKUBALI Na Sasa Naamini Kuwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ni JEMEDARI LILILOTUKUKA Tanzania, Afrika Na Duniani Kwa Ujumla.
 
Shikamoo Kikwete....
 
Jk huwa hana Papara ndo silaha yake kubwa pamoja na Ukimya wake ili kumsoma Adui mbinu zake. Adui hudhani Ukimya wake ni udhaifu. Wanamtandao wamesambaratishwa ki rahisi sana
 
Alichemka pale aliposema mkinichagua nitamshirikisha Lowasa kwenye serikali yangu. Nikamchukia ghafla hata kama mimi sio mjumbe wa vikao vya CCM.

Ile kauli aliitoa as if akishinda Lowassa makamu wa Rais
 
Daaah kweli Kikwete amedhamiria kuvunja mtandao kwani huyu Mama Balozi amefikishwa katika tatu bora na kambi ya Lowassa...Ndio basi tena ameshaharibu

Hoja si ya kweli, Samia Ndiye Alikuwa Mtu Pekee Ukimtoa Bilal Kuteuliwa Nafasi Hiyo, Kwanza Alikuwa Ni Waziri Ofisi Ya Makamu Wa Rais-muungano, Hivyo Anauzoefu Wa Masuala Ya Muungani, Ukumbuke Kuwa M/ Rais Ndiye Anashughulia Mambo Ya Muungano, Kwa Samia Balozi Amina Hakuna Na Nafasi. Tatizo Pekee Ni Kwa Siasa Za Zanzibar, Ambapo Anaonekana Kama Kibaraka Wa Bara, Pili Kuondolea Kwa Bilal Kutawakasirisha Wengi Ccm Zanzibar.
 
Alichemka pale aliposema mkinichagua nitamshirikisha Lowasa kwenye serikali yangu. Nikamchukia ghafla hata kama mimi sio mjumbe wa vikao vya CCM.
Hizo hisia zako tu hii safu imepangwa siku nyingi Balozi amina anasubiri kupewa wizara. Samia kawekwa pale kulinda muungano kutokana na sifa zake.
 
Kwani yeye ndio raia pekee wa Zanzibar!
 
JK Ni Jasusi ALIYETUKA Na MWANADIPLOMASIA Anayejua MICHEZO Yote Ya Hatari Na Kwa Mambo Aliyonifanyia Dodoma Kwa Kumbana Lowassa Na Mtandao Kila Pembe NIMEMKUBALI Na Sasa Naamini Kuwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ni JEMEDARI LILILOTUKUKA Tanzania, Afrika Na Duniani Kwa Ujumla.

Leo kamzidi Kagame? Siamini ninachokisoma.
 
usimfananishe Rais wangu msikivu na Kagame ambaye mkipishana tu ni Kifo
JK kapishana na NEC jana kidogo imtoe LOHO mpaka akaahirisha wajumbe wakapate mlo kwanza
akabaki na wazee wastaafu wakamuomba achana na Maembe
bado NEC usiku wakakoroma, haaoni sababu ya E.L. kutolewa na kuijaza familia leo hatumo nawe JK
mwisho akalegea na kumtafuta Maguu-full
si padogo hapo kumbadili amiri Jeshi Mkuu katika hii afrika ya kagame na mugabe
 
Back
Top Bottom