Gazeti la Raia Mwema nao siku hizi wamekuwa kama magazeti ya Shigongo au magazeti ya Kubenea,kwa yeyote aliyemuona Makongoro akifanya presentation ya kitoto sana ni kama alikuwa amekunywa Whisky ,kwa uwakilishaji ule sidhani kwa watu makini wangeweza kumpigia kura ya kurudi tena EALA ,na kwa Kimbisa na Ngwaru Maghembe waliweza kujieleza vizuri na ndio maana wakafanikiwa kuwa wawakilishi kwenye EALA,kwa hiyo kusema Makongoro alishindwa eti kwa kuwa alimsema vibaya Lowassa si kweli hata kidogo kusema zilipigwa kura za chuki ni kusema uongo,kama ni hivyo basi Wenje ,Masha na Taslima wangekuwa wabunge wa EALA kama Lowassa ana influence kubwa huko bungeni .Jamani someni wenyewe jinsi team Lowassa Bungeni alivyomuua makongoro nyerere.
========
MTOTO wa Baba wa Taifa, Julius Nyerere, Makongoro, amekosa ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) kwa sababu ya lugha isiyopendeza aliyoitumia dhidi ya vigogo wa upinzani kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, gazeti hili limeelezwa.
Makongoro Nyerere, ambaye mwaka 2015 alikuwa mmoja wa wapiga debe mashuhuri wa aliyekuwa mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli ambaye hatimaye aliibuka mshindi.
Hata hivyo, Makongoro ambaye aliwahi kuwa mwanachama wa chama cha upinzani cha NCCR-Mageuzi, mwaka 2015 alikuwa akifahamika kwa “vijembe’ vyake vikali dhidi ya aliyekuwa mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa na Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye.
“ Mwaka 2012, wakati Makongoro alipopata ubunge wa Afrika Mashariki, alibebwa na kura za wabunge wa vyama vya upinzani. Kule CCM hakuwa anapendwa sana lakini wapinzani walimpa kura kwa sababu walimwona kama mwenzao.
“ Lakini, kwenye uchaguzi wa mwaka 2015, yeye ndiye aliyeongoza mashambulizi dhidi ya Lowassa. Maneno yake mengine yalikuwa makali kiasi kwamba wapinzani waliumizwa.
“ Kwenye uchaguzi wa safari hii, wabunge wa upinzani wakapiga kura za chuki kwake. Matokeo yake ni kwamba amekosa nafasi ya ubunge ambayo angetakiwa aipate,” alisema mbunge mmoja kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa ambaye alipiga kura mwaka 2012 na mwaka huu. Kwa sababu ambazo hakutaka kuziweka wazi, mbunge huyo aliomba kutotajwa kwenye habari hii.
Katika uchaguzi wa kuwania nafasi za EALA mwaka 2012, Makongoro alipata jumla ya kura 123 lakini katika uchaguzi wa safari hii, alipata kura 87 tu.
“ Funzo kubwa ambalo Makongoro anawapa wanasiasa vijana ni kwamba wanatakiwa waweke akiba ya maneno yao. Wakati anamsema Lowassa mwaka 2015, alisahau kwamba atarudi tena kuomba kura za wapinzani kwenye ubunge wake. Vijana waweke akiba ya maneno,” kilisema chanzo hicho cha habari.
Nafasi ya Makongoro imechukuliwa na mwanasheria mgeni katika medani za kisiasa hapa nchini, Dk. Ngwaru Maghembe ambaye ni mtoto wa Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe.
Mshindi mwingine wa EALA katika uchaguzi uliopita, Adam Kimbisa, alifanikiwa kutetea nafasi yake kwa upande wa wanaume kupitia CCM Tanzania Bara.
Chanzo: Raia Mwema
Mbowe shikamooooo, PM shikamoo, Ndugai shikamooo!Ingekuwa shikamoo zinapiga kura angeshinda.Jamani someni wenyewe jinsi team Lowassa Bungeni alivyomuua makongoro nyerere.

Jamani someni wenyewe jinsi team Lowassa Bungeni alivyomuua makongoro nyerere.

Kuna jamaa alituambiaga nyumbu wa kijana wepesi kula alipojisaidiaWakati anatukana majukwaani na kushangiliwa aliona raha sasa acha aone raha zaidi
Acha unafiki, kama wapinzani ndio wanatosha kumpitisha ilikuwaje wakashindwa kuwapitisha Wenje na Masha?Jamani someni wenyewe jinsi team Lowassa Bungeni alivyomuua makongoro nyerere.
========
MTOTO wa Baba wa Taifa, Julius Nyerere, Makongoro, amekosa ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) kwa sababu ya lugha isiyopendeza aliyoitumia dhidi ya vigogo wa upinzani kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, gazeti hili limeelezwa.
Makongoro Nyerere, ambaye mwaka 2015 alikuwa mmoja wa wapiga debe mashuhuri wa aliyekuwa mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli ambaye hatimaye aliibuka mshindi.
Hata hivyo, Makongoro ambaye aliwahi kuwa mwanachama wa chama cha upinzani cha NCCR-Mageuzi, mwaka 2015 alikuwa akifahamika kwa “vijembe’ vyake vikali dhidi ya aliyekuwa mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa na Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye.
“ Mwaka 2012, wakati Makongoro alipopata ubunge wa Afrika Mashariki, alibebwa na kura za wabunge wa vyama vya upinzani. Kule CCM hakuwa anapendwa sana lakini wapinzani walimpa kura kwa sababu walimwona kama mwenzao.
“ Lakini, kwenye uchaguzi wa mwaka 2015, yeye ndiye aliyeongoza mashambulizi dhidi ya Lowassa. Maneno yake mengine yalikuwa makali kiasi kwamba wapinzani waliumizwa.
“ Kwenye uchaguzi wa safari hii, wabunge wa upinzani wakapiga kura za chuki kwake. Matokeo yake ni kwamba amekosa nafasi ya ubunge ambayo angetakiwa aipate,” alisema mbunge mmoja kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa ambaye alipiga kura mwaka 2012 na mwaka huu. Kwa sababu ambazo hakutaka kuziweka wazi, mbunge huyo aliomba kutotajwa kwenye habari hii.
Katika uchaguzi wa kuwania nafasi za EALA mwaka 2012, Makongoro alipata jumla ya kura 123 lakini katika uchaguzi wa safari hii, alipata kura 87 tu.
“ Funzo kubwa ambalo Makongoro anawapa wanasiasa vijana ni kwamba wanatakiwa waweke akiba ya maneno yao. Wakati anamsema Lowassa mwaka 2015, alisahau kwamba atarudi tena kuomba kura za wapinzani kwenye ubunge wake. Vijana waweke akiba ya maneno,” kilisema chanzo hicho cha habari.
Nafasi ya Makongoro imechukuliwa na mwanasheria mgeni katika medani za kisiasa hapa nchini, Dk. Ngwaru Maghembe ambaye ni mtoto wa Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe.
Mshindi mwingine wa EALA katika uchaguzi uliopita, Adam Kimbisa, alifanikiwa kutetea nafasi yake kwa upande wa wanaume kupitia CCM Tanzania Bara.
Chanzo: Raia Mwema
Hizo kura chache alizopigiwa Makongoro zilipigwa na haohao waliopiga "Hapana" kwa Masha na Wenje!..Dr.Ngwaru Maghembe na Alhaji.Kimbisa ndiyo waliosababisha Makongoro akashindwa.
..wagombea hao walijieleza vizuri na kumfunika Makongoro Nyerere.
..nadhani hata hizo chache alizopata Makongoro inabidi tujiulize zilipigwa na nani? Kwanini kura zote za Makongoro hakupewa Dr.Ngwaru?