Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,357
- 100,374
Avatar ya Biblia haimaanishi ni udini wo wote...................unataka kuniambia kwa vile wengine wote ndani ya JF hawana avatar za nembo za imani za dini zao basi wao hawana udini..................................Hivi udini ni nini?Rutashubanyuma wewe ndo mdini mkubwa maana umeamua kutuwekea na bible kwenye picha yako-ni kweli JK ana mapungufu kibao, lakini wewe ni mbaya zaidi kwani-unataka kutupandikizia maslahi yako wana JF-hufai kabisa, mimi pia najutia kuwa sehemu ya JK mwaka 2005 na nilishiriki ipasavyo kuweka madarakani na sasa najuta-lakini si unganishi habari hizo na udini unao uleta wewe wa kijinga kabisa
Ninauhakika ya kuwa katika kipindi cha miaka miwili ijayo nchi hii itakuwa imejiunga na OIC na mahakama za kadhi kuanzishwa .......................mbali ya JK jana kudai ya kuwa kuna nyufa za udini na serikali yake itafanya juu chini kuzishughulikia.................lakini ukweli ni kuwa kazi kubwa atakayoifanya kwa miaka mitano ijayo ni kuzikuza nyufa hizo kwa kutoa upendeleo kwa dini yake...............
Naomba kuungana na JK na Mzee wangu Kayanza, mtu akishiba ni rahisi kufanya maendeleo mengine, uwezi kukaa darasani na njaa asilani. NI lazima tuwe na uhakika kuwa kesho tutakula nini!! hivyo ni rahisi kukaa darasani na masomo fomula, definitions, calculas, yoote yaho yaka gota kichwani kwa makini. NJAA HAINA ADABU, watu washibe kwanza ndio akili itafanyakazi. So what I conclude, JK na Kayanza keep it up!! KILMO KWANZA MAZEEE!!
Elimu kwanza hiyo si agenda ya CHADEMA?
Lowassa Bravo. Mmasai tunakuheshimu kwa mawazo na mzigo unajui kuupiga shida tu ukisikia mlio wa senti imedondoka mori unakupanda. Kungekuwa na sindano ya kukuchoma ili njaa yako ipungue tungefanya hivyo halafu tukupambanishe na best yako jk hata ikiwa kupitia chademakwa upande mmoja naweza kuungana na Lowasa katika hili elimu ya darasani na elimu ya street ni muhimu ili tuweze kufanikiwa. pamoja na hayo tutafanikiwa tukiwa na uadilifu na wachapa kazi.!!
naomba kuungana na jk na mzee wangu kayanza, mtu akishiba ni rahisi kufanya maendeleo mengine, uwezi kukaa darasani na njaa asilani. Ni lazima tuwe na uhakika kuwa kesho tutakula nini!! Hivyo ni rahisi kukaa darasani na masomo fomula, definitions, calculas, yoote yaho yaka gota kichwani kwa makini. Njaa haina adabu, watu washibe kwanza ndio akili itafanyakazi. So what i conclude, jk na kayanza keep it up!! Kilmo kwanza mazeee!!
Kati ya JK na EL nadhani EL anatakiwa akapimwe akili zake mie naona JK yupo sahihi kuhusu kilimo kwanza kwasababu moja kuu.
1. Huwezi kuelimika kama una lishe duni
Inaelezwa na wataalamu wa afya kuwa kipindi cha ukuaji watoto wakikosa lishe bora wanadumaa Wanakuwa "stunted" na wanapodumaa wanakuwa na dumaa mwili na akili kwani katika kipindi hicho hicho akili ya mtoto inakuwa kwa kasi zaidi na inategemewa na lishe anayopata.
Short-changing children
Low weight at birth, insufficient feeding, inadequate care and nutrient depletions caused by repeated bouts of illness culminate over time in a child whose height is less than that of other children of the same age. Such stunting is a standard marker of a failure in early growth.
Deprivations in feeding and care that impair growth in the critical first years may also reduce a childs cognitive development and learning ability, often leading to poor school performance and dropping out.
Some 39% of children under five in the developing world are stunted around 209 million children. Stunting rates are highest in Asia and sub-Saharan Africa.
Inadequate feeding and repeated illness are the immediate causes of stunting in the young child. This vicious cycle is itself a result of poverty and the consequent inability of families to adequately care for their children. A lack of clean water supply in a poor community, or a long distance between home and health clinic, for example, affects the level of care that can be given.
Stunting also occurs when babies are born underweight because the mother was poorly nourished or because she was herself stunted.
Once established, stunting and its effects typically become permanent. Stunted children may never regain the height lost and most will never gain the corresponding weight. And when the window of early childhood is closed, the associated cognitive damage is often irreversible.
kwa msaada zaidi someni link zifuatazo ili mjue kwanini lishe ni muhimu kwa ukuaji wa mtoto na hapo hapo lishe itamsaidia kuweza kusoma vizuri shuleni..
Behavioral and Brain Functions | Full text | Cognitive development in children with chronic protein energy malnutrition
UNICEF Home
Stunted growth - Wikipedia, the free encyclopedia