Hakuna utumwa mbaya zaidi ya utumwa wa akili. Ukiona mtu kutwa hana anachofanya na anaota ndoto ya kufanikiwa,aliyemuibia akimnunulia soda humwita malaika,usimtukane. Kama una Imani timilifu mwombee. Biblis inasema shetani ni baba wa uongo. Wakristo wa kweli( sizungumzii wenye majina ya kikristo) chagueni ukweli au uongo,Giza au nuru. Wafundishe na wengine.