Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
Happy new year Wana JF wote.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema Taifa Mhe.Edward Lowassa ameshiriki ibada ya mwaka Mpya pamoja na Familia yake katika kanisa la KKKT Dayosisi ya Monduli Arusha.
Katika Ibada hiyo aliongozana na Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha Mhe.Kalist Lazaro,Mwenyekiti wa Halmashauri ya Monduli Mhe.Isack
Joseph,Wakili Msomi John Mallya pamoja na Viongozi wengine.
Pia Mhe.Lowassa aliwatakia Heri ya Mwaka Mpya Watanzania wote na kuwaambia wafanye kazi kwa bidii.
Mhe Edward Lowasa akiongea akiwa kanisani akitoa salamu za Mwaka mpya kwa watanzania wote.