Lowassa amekata tamaa,waliomshangilia wanamkimbia!

Kama rais anategemea kuwa na viwanda kwa akili kama hizi, Mungu amfanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu.....
Sio kwa ukichwa maji huo wa wafuasi wake!!
Labda sielewi, mkuu unauhakika hapo ulipo hampo wanne??
Dogo usijiume ume...jinu hoja...unaweweseka ili iweje?kwani uongo?
 
Lowasa yupo kwenye ilani ya CCM...!?!? Maana mda mnao upoteza kumjadili Lowasa mngeutumia kumshauri Juma Pumba Maharagwe... Vipaumbele vyake visingekua Msikiti na Uwanja wa kisasa.
unajaribu kulewa ili usahau?
 
Alexism, thanx kunikumbusha Bukena na Bukeije. Kigamboni ni samaki mchele tu, uliyoyasema ni kweli uyu Mh. Lowasa leo akipata nafasi ya kuwaita watu Jangwani nadhani MACCM yatajificha. No more nakuzawadia maLIKES ya kumwaga, Thanks/ wakola kyoma
hapa ndipo walipokufubaza akili,Lowassa ni ajabu sasa lazima watu wakamuangalie,ni kituko...sasa mtakuwa mnajichoresha tu!.
 
Ukitaka ujue nguvu ya Lowasa katika siasa, mwambie huyo sijui anaitwa ******************* aruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya upinzani halafu uone watu watakavyomuunga mkono.
14657321_834123750063949_8427568653934895864_n.jpg
 
"Ukiona mtu anatafuta kwenda ikulu kwa kuhonga hela mwogope kama ukoma" . (J. K. Nyerere, R.I. P)

Nyota njema huonekana asubuhi, ndivyo unavyoweza kusema katika kipindi cha mwaka mmoja tangu kupigwa chini na watanzania,Aliyekuwa Mgombea uraisi wa Chadema ndg.Lowassa anaitia katika wakati mgumu. Ni kama gundu la ufunguzi wa mwaka 2016 pale rafiki yake mkubwa Gwajima alipotangazia waumini wake na Dunia kuwa hakuwahi kumuunga mkono Lowassa. Kisaikolojia tulijua kitumbua kimeingia mchanga.

Muda haukupita wapiga domo wake wakuu tokea CCM, wakiongozwa na Mwapachu,Msindai na makundi mengine mamilioni yakimtosa kimya kimya yakimuacha bila kumuaga.

Makada Chadema nao wamemtosa bila kumtaarifu, hawamtembelei wala kumzungumzia kama ilivyokuwa baada ya uchaguzi. Hawataki kuhusishwa naye kwa Lolote, wamemwachia Mbowe 'zigo' la msumari.

kitu pekee kinachomliwaza ni wanahabari, angalau kwa vijisenti wanalazimika kumuandika. Vijana wa chadema Mtandaoni, wakiongozwa na Kijana Yericko Nyerere aliyewahi kujitambulisha kama Mwenyekiti wa chadema mitandaoni wamefunga midomo na vidole vyao haviandiki hekaya zozote za kumsifu kamanda Lowassa.

Ni dhahiri, pamoja na mafuriko Lowassa amechuja mapema sana kwenye vinywa vya makamanda ukilinganisha na Dr.Slaa ambaye alidumu kwenye vinywa vya makamanda miaka takribani mitano hadi pale Mbowe aliporubuniwa.

Ukweli mwingine ni kuwa atabaki hapo chadema kwani ana hati miliki lakini wale makamanda halisi wanashirikiana naye kwa kujificha ficha, hawataki jamii iwahusishe naye. Ukiacha Mbowe na Mashinji ni ngumu kukuta vijana wengine wakiwa karibu naye ili kulinda kumbukumbu zao siku za mbeleni.

Nawasilisha.
 
EL akitaka kuzungumza malaika anakosa amani.
Matumaini ya taifa yako kwa EL.
 
Unaandika uku nafsi inakusuta
 
Back
Top Bottom