Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowasa amemchangia Mufti Mkuu wa Tanzania sh 13 mil kwaajili ya kukamilisha ujenzi wa kituo na shule ya watoto yatima kilichopo Kigamboni jijini DSM. Mbunge huyo amemkabidhi Mufti fedha hizo leo akisema amezipata kutoka kwenye michango mbalimbali ya marafiki zake ili kukamilisha ujenzi wa kituo na shule hiyo itakayojulikana kwa jina la Edward Lowasa.
Source ni TBC1
Hivi richmond walikuwa wanalipwa ngapi kwa siku (capacity charges)?Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowasa amemchangia Mufti Mkuu wa Tanzania sh 13 mil kwaajili ya kukamilisha ujenzi wa kituo na shule ya watoto yatima kilichopo Kigamboni jijini DSM. Mbunge huyo amemkabidhi Mufti fedha hizo leo akisema amezipata kutoka kwenye michango mbalimbali ya marafiki zake ili kukamilisha ujenzi wa kituo na shule hiyo itakayojulikana kwa jina la Edward Lowasa.
Source ni TBC1
Shika adabu yako! Nani kakwambia huyu mtu ni MmasaiHuo ndio uungwana, ulichonacho unagawana na wengine.
Big up Ole Lowassa!
Big up Mzee Lowasa. Sio wengine kazi yao kuiba tu hata kututupia makombo hawatutupii!
Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowasa amemchangia Mufti Mkuu wa Tanzania sh 13 mil kwaajili ya kukamilisha ujenzi wa kituo na shule ya watoto yatima kilichopo Kigamboni jijini DSM. Mbunge huyo amemkabidhi Mufti fedha hizo leo akisema amezipata kutoka kwenye michango mbalimbali ya marafiki zake ili kukamilisha ujenzi wa kituo na shule hiyo itakayojulikana kwa jina la Edward Lowasa.
Source ni TBC1
Kweli pesa sio mchezo, fikiria unakutana na...Rostam Aziz Catholic High School au Bin Laden Anglican Teachers College
Nafikiri hii inawezekana kwa Tanzania tu