Mawazo mengine ni ya kijinga sana,lowasa hajawapa Cuf hata mbunge mmoja acheni kulipa sifa zisizostahili hilo fisadi lenu,kama yeye ni bingwa wa kuwapa ubunge wagombea wa vyama vingine mbona Nccr wameambualia mbunge mmoja na NLD hawajapata hata mmoja?
Kwa style hii ipo siku mtamuuliza dr slaa aliipa cdm wabunge wangapi!
Si walibebwa na wabunge wa visiwani ila kwa takwimu za sasa CUF haijwahi fikisha wabunge 42 kma ilivyofanya sasaNi wakati gani CUF ilikuwa ndio kambi rasmi ya upinzani bungeni?
Haahhhahhh 2010 CCM ilikuwa haijachoshwa na kauli mbiu ya maisha bora kwa kila mtanzania??? Je ilikuwaje basi CUF hawakutimia hiyo fursa zaidi wakaporomoka huku bara???CCM kufikia 2015 ilikuwa imechokwa sana, hao akina Bobali, Nachuma na wegine wa CUF walianza kujiimarisha majimboni mwao kabla ya uchaguzi wakiwa na Lipumba na kazi kubwa UKAWA waliifanya bila ya Lowassa na kuna majimbo mengine CCM wamehusika moja kwa moja kupitisha watu UKAWA kwa sababu aliyepitishwa na CCM alikuwa hakubaliki na wengi.
Yaan wewe ni kijana na unaamini kuwa Lowassa ameongeza udadi ya wabunge bila kuangalia factors zingine ambazo ni main mfano kuchokwa kwa CCM basi utakuwa na tatizo sehemu.
Hapana mkuu huwezi linganisha uwezo wa slaa na huyo lipumba..... slaa was an asset ila lipumba alikuwa mzigo tu miaka yote chama bara hakipati wabunge haya kaondoka ndio kimefanikiwa leo hii ndio wakusema lowassa mzigo??? Tukiwa realistic cuf ingemsimamisha lipumba na chadema ingestick na lowassa nani angevuna aibu???Kwa style hii ipo siku mtamuuliza dr slaa aliipa cdm wabunge wangapi!
Kwa hiyo wabunge wa visiwani kwa sasa wametokea chadema?Si walibebwa na wabunge wa visiwani ila kwa takwimu za sasa CUF haijwahi fikisha wabunge 42 kma ilivyofanya sasa
vipi kama lipumba angekuwa mgombea wa UKAWA unadhani idadi ya wabunge wa CUF ingekuwaje?Haahhhahhh 2010 CCM ilikuwa haijachoshwa na kauli mbiu ya maisha bora kwa kila mtanzania??? Je ilikuwaje basi CUF hawakutimia hiyo fursa zaidi wakaporomoka huku bara???
Hapana mkuu huwezi linganisha uwezo wa slaa na huyo lipumba..... slaa was an asset ila lipumba alikuwa mzigo tu miaka yote chama bara hakipati wabunge haya kaondoka ndio kimefanikiwa leo hii ndio wakusema lowassa mzigo??? Tukiwa realistic cuf ingemsimamisha lipumba na chadema ingestick na lowassa nani angevuna aibu???
Akili yako mbofu sana. kura moja ya lowasa ndio ilichagua hao wabunge 9?? nonsenseNimeshangazwa na msomi mahiri wa uchumi, prof.Lipumba kunena kwamba 'ilikuwa mzigo kumnadi Lowassa kwenye uchaguzi 2015' na vile vile ''aliitwa na wanachama kuja kuikomboa CUF'' naomba niweke mafanikio ya CUF chini Lipumba kama mgombea uraisi na mafanikio ya Lowassa kama mgombea uraisi
Lowassa ameweka historia kubwa ndani ya CUF, ambayo legacy ya Lipumba haifikii hata hata robo, Prof.Lipumba amekuwa mwenyekiti wa CUF kwa miaka karibia 20 tangia 1995 na amekuwa mgombea uraisi kwenye changuzi zote lakini hajawahi kuifikia rekodi ya Lowassa, CUF iliambulia wabunge wawili tu bara Wilfred Lwakatare 2000 na Frank Magoba 2000, kutokana na uongozi wake mbovu wakapoteza majimbo 2005, 2010 wakapata majimbo mawili tu, kwa kifupi chini ya uongozi wa Prof.Lipumba chama hakijawaki kupata zaidi ya wabunge wawili bara na hata kuongoza halmashauri, kimekuwa ni chama cha kupoteza majimbo
Lakini chini ya "Mzigo" Lowassa anavyosema huyu profesa Lipumba , CUF kimepata wabunge tisa na kutoa manaibu meya wawili, hivi nikisema prof.Lipumba anachanganyikiwa nitakua nakosea, hivi nikisema Prof.Lipumba amefilisika kisiasa na nitakua nakosea, huu ndo ubaya wa kutumika CCM kuvuruga upinzani
USHAURI: PROF.LIPUMBA TAFUTA CHUO CHA KUFUNDISHA ILI UENDELEE KUFANYA TAFITI ZAKO NA KULINDA HESHIMA YAKO, HOJA ZAKO DHIDI YA MAALIM SEIF NI ZA KITOTO, WANAOKUAMINI WANATAFUTA HELA YA KULA WAKINA ABDUL KAMBAYA NA GENGE LAKE