Lowassa akumbukwa

Source ya habari ni tanzania daima ambalo kila siku lnaelezea kukubarka kwa lowasa tangu alipo jiunga na cdm maana yake hamna jipya hapo just kumweka kwenye political sphere ili asisahaulike haraka
 
Mbunge wa Kinondoni ajiandae kuwasaidia watu wa Mabondeni mvua za Elinino zikianza. Asitupe lawama kwa Serikali.

Wekeni haya maneno kwenye kumbukumbu.

Queen Esther

Hatimae wananchi wameanza kukiri heri wangemchagua Lowassa kuwa rais huenda angewahurumia katika bomoabomoa inayoendelea.

Wadau hii maana yake nini?

Chanzo: Tanzania Daima
 
Jangwani ni eneo la njia/mkondo wa maji,wengine wanasema ni sehemu ya 'kupumulia' bahari....granted. Kile kituo cha magari hayo mapya ya nanihii pale kimejengwa mlimani siyo jangwani pale! Tena yale mafuriko yaliyopita yalikipiga chini chali kabisa ikabidi waanze kujenga upya. Watakibomoa lini? Na wale waliojaza udongo pale pembeni, na walionyanyua lile eneo la upande wa pili yalipo mabanda ya wamachinga hawajatatiza huo mkondo wa maji? Kwa harakati zile hakuna madhara kwa eneo lile na maeneo jirani? Walioruhusu/zembea hadi shughuli hizo zikafanyika lini watachukuliwa hatua?!
 
yaan umeandika mengiii ila pumba tupu, hiv umesoma kwanza kabla ya kupost?? umekuwa kama una kimbizwa,,,
Jamaa kaandika kama muandishi mwenye "elimu ya hapa na pale"
 
Source ya habari ni tanzania daima ambalo kila siku lnaelezea kukubarka kwa lowasa tangu alipo jiunga na cdm maana yake hamna jipya hapo just kumweka kwenye political sphere ili asisahaulike haraka
Jamaa kaandika kama muandishi mwenye "elimu ya hapa na pale"




Tatizo ni mahaba ya watu waliyo nayo kwa Magufuli.
Kuna majipu humu ndani ambayo yanataka kupoteza malengo kwa kusifia kila kitu.
Wanataka kuaminisha watu kuwa umaskini wa watanzania umesababishwa na ujenzi wa mabondeni bila kujua kwamba kujenga mabondeni kumesababishwa na umaskini wa watu.

Hawa magamba kazi yao ni kusifia kila kitu kama magaidi yanayoamini kila wanachosoma kwenye vitabu vya dini na kuua kila mwenye imani tofauti na wao.
Mtu anayependa sana na kuamini kila kitu ni hatari sana na anaweza kuwa gaidi muda wowote.
Magufuli sio Mungu hata asikosolewe kwa kukiuka utu na heshma ya wazee ,wakina mama na watoto maskini kwa makosa yaliyofanywa na serikali yake iliyokua dhaifu kwa miaka 50 tangu uhuru.
Hata Mwenyezi Mungu kwa Mujibu wa biblia alijikosoa mwenyewe japo mwanzoni aliona kila kitu alikifanya sawa.

Ifahamike tu kuwa mimi sipingi watu kuhamishwa toka mabondeni.
Ninachokataa ni kuwaacha wale wazee waliobomolewa bila kupewa makazi.
Magufuli huyu huyu ndiye aliyekuwa amewapa Makada na viongozi wenzake nyumba bora zilizokua zinamilikiwa na serikali tena kwa bei sawa na bure japokuwa walikua na majumba na mapesa mengi ya kujenga nyumba popote. Tuliaminishwa kuwa viongozi wa serikali hawakuwa na uwezo wa kujenga nyumba na wengi wanakaribia kustaafu hivyo wananchi tusilalamike na kukosoa uamuzi wa serikali kuwauzia nyumba kwa bei ya choo cha shimo.
Leo hii serikali hiyo hiyo chini ya mtu yule yule aliyesema mawaziri na viongozi wakuu wa serikali hawakua na uwezo wa kujenga nyumba anawaacha wazee bila makazi baada ya kuvunja nyumba zao.
Kwa nini huruma iliyokuwa imeonyeshwa kwa viongozi wa serikali wakati wa kuuza nyumba za umma kwa kusema kuwa wapewe tu kwa kuwa hawana uwezo isitunike kwa wazee maskini wa mabondeni kujengewa nyumba za kawaida wakapewa kwa kukatwa kodi kwa miaka hata 20 theni wamilkishwe ?
Nimetoa wazo la kutumia majeshi yetu kuwajengea nyumba kwa gharama nafuu?
Msimamo wangu miaka yote ni wizara ya ardhi kupima viwanja na kutenga maeneo ya makazi salama kwa wananchi wote. Hiyo ndiyo kazi ya serikali. Ndio maana watu wanalipwa kwa kazi hiyo.
Sasa linapokuja suala la uzembe wa muda mrefu wa serikali halafu ikabidi hatua kubwa na ya lazima ifanyike kwa kuhamisha watu toka makazi yao basi kwa taifa lolote lenye kujali watu wake ni lazima libebe mzigo ili kupunguza machungu ya wananchi wake wasio na hatia.

Haifai na haikubaliki kwa serikali kuwabomolea watu makazi yao halafu ikawaacha kila mmoja aende kujenga nyumba holela tena huko pembezoni mwa mji. Baada ya muda hawa waliobomolewa na wengi wao kukosa viwanja na nyumba watafuatwa tena na serikali hii hii ya CCM na kuambiwa kuwa wamejenga bila ramani.
 
Hivi unahabari kuna watu walipewa viwanja mabwepande wakaviuza wakarejea tena jangwani.Leo hawana hata pakwenda. Watu kama hao wasaidiweje.
 
Jamani mwacheni Lowassa aende kuchunga ng'ombe wake huko Monduli.

Hii dhana ya kumjaza ujinga eti bado anapendwa na wananchi wanamkumbuka ili mzidi kumkamua pesa zake za kifisadi mtakuja kupambana na karma law mbele ya safari ya kisiasa.

Mbowe naomba umuonee Lowassa huruma! Let him go, please!

Lowassa is finished! There is no way back for him!
 
Unafiki utaacha lini, kwanini usianze Na Jk
 
Lowassa ndo Rais wa mioyo ya watanzania. ******** alibebwa tu na lubuva.
 
malalamiko hayasaidii, miaka ya 80 na 90 katika maeneo yote ya mabondeni hakukuwa na watu, tatizo la serikali ni kuwa iliiacha rushwa ikaota mizizi, mwananchi wa hali ya chini akakosa mtetezi. maafisa ardhi wakaota mapembe, wakaanza kuwadharau vijana mpaka wazee, lakini sheria na ramani za miji zilikuwepo, kutokutumika kwa sheria hakumaanishi kuwa sheria hazipo, kutokuzijua sheria pia hakumaanishi kuwa sheria hazipo, inasikitisha kuona watu wakikosa makazi baada ya nyumba kubomolewa lakini haya maumivu na mateso ni mambo ya kupita, huwezi kujenga Tanzania mpya kwa kutegemea tamaduni zile zile za zamani.
 
Wanaomkumbuka Lowasa ni waovu na mafisadi

View attachment 315100
Hakuna atakayemkumbuka mwizi Lowasa baada ya mda mchache mtamjua magufuli anacholenga watu wote watamwelewa tu.

Je, haya ndio MABADILIKO ambayo alikuwa anasema katika kampeni ya kuwapa watu umasikini katika nchi yao???

Tumekuwa Wakimbizi ndani ya nchi yetu!!!!!!!

Alipaswa kwanza kuleta mabadiliko ya kiuchumi ili tuepukane na maisha ya hali ya chini waliyonayo Watanzania ikizingatiwa Tanzania ni nchi Tajiri sana kirasilimali lakini tunaishi maisha ya hali ya chini.

Washauri wa Rais Magufuli ni VIPOFU, wanampoteza.

tuna matatizo mengi ambayo serikali inapaswa kuyaangalia:-

KWa ujumla maisha ya Mtanzania bado ni magumu tumekuwa tukiimbiwa wimbo wa "MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA" Lakini tunaendelea kuishi maisha ya "HERI YA JANA KULIKO LEO"




Barabara zetu ni mbovu:-



Hospitali zetu bado hali ni mbaya



Huduma ya maji bado ni tatizo hata mijini na ndio maana milipuko ya magonjwa inatokea mara kwa mara.

Serikali wanaangalia uchafu wakidhani kuwa ndio chanzo cha Kipindupindu lakini wanasahau kuwa Maji yasiyo salama ndio chanzo cha kipindupindu pamoja na Typhod.





Makazi yetu asilimia kubwa ni dhaifu na hii ni kutokana na hali ngumu kiuchumi. leo unambomolea mtu nyumba ya Tofali na hana uwezo wa kujenga nyingine mwishowe anajenga nyumba ya MBAVU ZA MBWA ili kujistiri. Ni aibu kwa Taifa la Tanzania.




Watoto wetu sehemu nyingi wanasoma katika mazingira magumu kutokana na uhaba wa madarasa, mabenchi. Wenfine wanasoma chini ya miti na wengine darasa moja wanabadilishana labda la KWanza wanaingia asubuhi na kutoka saa 5, kisha wanaingia wengine hadi saa 8, kisha wanaingia wengine hadi jioni.

Ni aibu kwa Taifa la Tanzania!!!





Serikali inapaswa kuangalai matatizo ya msingi.

WASHAURI WA RAIS MAGUFULI NI VIPOFU, WANAMPOTEZA NJIA.....

TUSUBIRI UMASIKINI KUONGEZEKA TANZANIA NDANI YA MIAKA MITANO KUANZiA SASA!!!!!



MIZAMBWA
INANIUMA SANa!!!
 

Attachments

  • wanafunzi-rwinga-school.jpg
    36.3 KB · Views: 32

Kwa hoja yako hii hata sikubaliani nawe!!!!!!

Kwani aliyekudanganya kuwa mabasi ya UDA yalikuwa yanapita mitaani ni nani enzi hizo unazosema za miaka ya 80's?????

Mimi nipo DSM toka mwaka 1971, lakini sijaona mabasi ya UDA yakipita mitaani!!!!!!

Kulikuwa na mabasi ya Wanafunzi enzi za utawala wa Awamu ya pili (Rais mwinyi) je nayo kushindwa kushindwa kwake kufanya kazi ilitokana na watu kujenga kiholela????? Na hadi leo hatujui hata Screpper waliuza wapi za yale mabasi ya Wanafunzi, mradi ambao walikabidhiwa UVCCM enzi ile.

Tutafute sababu nyingine lakini hizi mnazotroa bado hazileti MABADILIKO yaliyoimbwa katika kampeni zilizopita.
 
Last edited:
sio kweli mbn serikali yenu haimkamati kama ni fisadi acha umbea fisadi ccm mwenzenu jk
 
Kmbwembwe ulisoma shule gani? Niambie njia gani ilizibwa ipi?kama mtoto wako atarithi akili zako basi balaaaa tanzania.kwani hizi uda za sasa hivi zinapita wapi?yaani sijui hata nikujibu nini acha nikujibu utumbo unastahili kujibiwa utumbo
 
Waliopiga hela zake za kampeni ndo wanamkumbuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…