Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,229
In politics, there is neither permanent friends nor permanent enemies!, there is only a common interest!.
Wale wapenzi wa huyu jamaa yangu msiwe na wasiwasi, kauli hizi ni payment tuu ya kitu kinachoitwa "lip services", alisema tutajadiliana jinsi ya kuvuka daraja, tutakapofika darajani!. Kwa sababu sasa bado hatujafika darajani, subirieni tutakapofika, kama lengo ni kuvuka daraja, then itatumika njia yoyote kuvukia, na ikitokea kivuko cha CCM kikamtosa mtoni, atashika kamba yoyote kujiokoa afike salama, vinginevyo kama na yeye ameanza kukata tamaa, na sasa yuko tayari kuzama na meli mbovu wafe wote!.
Baada ya Mrema kusema mbovu siku ile kule bungeni na kukiuka the rule of "collective responsibility" nilimuuliza kama atahama CCM!, alisema "sihami na nitafia CCM!", hata mwezi haukupita alihamia NCCR!.
Lilipotokea tifu huko NCCR mako pia nilimuuliza tena kama atahama, akasema this time haami NCCR, atafia NCCR na ko haukupita mwezi alihamia TLP!. Kwa vile TLP ametangazwa ni rais wa maisha "life president" hivyo msishangae mambo yakibadilika!.
Kwa situation ilivyo as of now, hutu jamaa ndio maarufu kuliko mgombea yoyote mwingine wa CCM save for his frail health status, ila pia Chadema haina mgombea wa calibre yake!, ukawa haina mgombea kabisa!, kama afya sio mgogoro, CCM wakimtosa, he has no any other option ya kutimiza ndoto yake but to cross the line!, kazi ya kwanza atawaambia Watanzania mmiliki halisi wa Richmond na why he had to carry that cross!, watt watabaki midomo wazi!, then at a cross the line and believe me, tutampa and this is the only way CCM Chali!.
Pasco.
Kumeendelea kujitokeza taarifa mbalimbali katika mitandao ya kijamii kuhusu Mh. Lowassa kuhamia chama cha Chadema.
Taarifa hiyo imeeleza kuwa Mh. Lowassa amekabidhiwa kadi ya Chadema, ameshiriki uzinduzi wa tawi la Chadema na kwamba kutaandaliwa mkutano wa kumkaribisha katika viwanja vya jangwani.
Kwa mara nyingine tena, ofisi ya Mh. Lowassa inakanusha taarifa hizo kuwa sio za kweli na zenye kutaka kupotosha umma wa watanzania.
Imetolewa na ofisi ya Mh.Lowassa (Mbunge)
Edward Lowassa Official Online Office

alliance for cowards Tanzaniaatunashaka ndugu chama chetu ni chakizalendo na donesheni ndio mpago na sera ya act
Waliokuwa na hofu ya kutochaguliwa ni wale waliokuwa wanawapiga wenzao na kuwawekeya vikwazo kibao iliwapite bila kupingwa
Japo chadema inahitaji wanachama wengi, si Lowasa! Ni mchafu sana, fîsadi, mla rushwa, tamaa, mlafi! Huyo anafaa sana Act!
CHADEMA ndio chama pekee tanzania chenye lengo la dhati na chanya kwa taifa hili, so ni lazima uone uchafu sababu ccm hakuna anaye ipenda chadema maana imewaumbua dili zenu nyingi sana, kaa chonjo itakusafisha na wewe si mda mrefu.
Wenzenu jana wametwangana sababu ya posho mnazo pewa na ccm kupigwa panga na wajanja au hujasikia??ACT club ya wasaliti na mtajazana huko na mwisho mtaanza tena wenyewe kwa wenyewe maana hii club yenu hata haieleweki,Mlango uliongoa mm nimeshatoka ndio mana nikaona uchafu mkubwa sana Hivi sasa Tunawasilimisha na kuwabatiza watu kwa sera ya Kuvuwa gwanda Kuviwa gamba Na kuuvaa uzalendo Bado ww tutakufikia tu ww na utauvaa uzalendo
Ukweli haufichiki ni suala la muda tu!
Seriously CDM wanamtaka huyu mtu mpk Waanze kujizushia au Mh.Lowasa ndiye ameamua kuja kivingine ktk kutaka jina lake lisikauke midomoni mwa Watanzania?
LOWASSA Hawezi Kwenda Chama Cha OVYOOOOOOOOO! Kama CHADOMOOOOOO![h=5]TAARIFA YA KUKANUSHA KUHAMIA CHADEMA SOURCE: Ofisi ya Mh.Lowassa (Mbunge[/h] Kumeendelea kujitokeza taarifa mbalimbali katika mitandao ya kijamii kuhusu Mh. Lowassa kuhamia chama cha Chadema.