Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,760
Huo ndioo ukweli CCM imezama na haitoweza tena kuibuka ,popote pale katika kona za Taifa hili la Tanzania .Mgombea Uraisi kwa tiketi ya UKAWA mheshimiwa Lowasa ameweza kufanya kampeni zake kwa mpangilio ambao umeweza kuwapoteza maboya wagombea wa CCM na malori yao.
Lowasa anazidi kuwakosesha usingizi MiCCM kwani ishara zote zinaonyesha waTanzania walio wengi wameshaamua kufanya mabadiliko na wanasema mabadiliko ni sasa ,mabadiliko yanayodaiwa ni kukiondoa Chama tawala cha CCM kilichokaa madarakani kwa zaidi ya miaka 50 na hakuna faida iliyopatikana na shida zimekuwa zikiongezeka kila mwaka na watanzania wanadai kuwa Chama hicho cha CCM imekuwa mazalio ya mafisadi na zaidi kimekaa kama washing mashine kwa kuwasafisha wanaokwapua matrilioni ya shilingi.
Watanzania wanasema CCM watatuelewa hapo tarehe 25/10/2015,baada ya hapo CCM itakuwa inaingia katika vitabu vya historia na sio kuingia kwenye utawala.
Na kila anaeona CCM itashinda mtu huyo ni mwenye kasoro na si ajabu haelewi jana amekula nini.