watanzania ni watu wanafiki sana wakiongozwa kwa kiasi kikubwa na hiki chama cha kaskazini , . ukiibia nchi hii halafu ukajikusanyia utajiri ukaanza kutoa pesa kwenye misikiti, na makanisani , halafu ukawa mkimya unaitwa mwenye busara na watu wanaaza kukkuona mtakatifu na hicho ndo kinachotokea kwa lowasa,
eti leo anaonekana lowasa anabusara maajabu kweli
Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA leo ameingia katika mji wa Igunga kuendelea na vikao vya ndani katika kanda ya Magharibi ya chama hicho inayojumuisha mikoa ya Tabora, Kigoma na Katavi.