Lowassa aitikisa Igunga

Na ndio maana mkashinda kwa msaada wa Lubuva na Jecha
 
Bado anaendelea na maigizo badala akachunge.
Mbona hao wachache wenzake Tanga walimpenda mpaka wakazimia Musoma mpaka wakadeki barabara naona maigizo season mpya inaendelea.
Mzee kachunge Maigizo waachie Kaole na nyumbu wachanga
 
Nikweli ata mimi niko nazungushaaa mikono

Haaaaaaahaaaaaaaaa. Atazunguka zunguka tuu. ila ikulu ni mwikoooo

We jidanganye kuna mtu anaitwa BAGBO pale Ivory Coast alikuwa na ndoto kama unazoota wewe lakini alitolewa humo ikulu na majamaa yale uliyoiona 9 Desember pale uhuru
 
Iv bado mnaami Tz kuna upnzan wa kwel jaman amken tunachezwa shere tutaongozwa na CCm had mwsho wa dunia hakuna mpnzan atakaepewa urais nchiii hii
 
bila kujitoa ufahamu huwezi kuwa mshabiki wa hiki chama, juzi tu hapa mlimwita fisadi na majina yote ya ovyo, leo kageuka shujaa!!!
Disco za zamani kuna kitu kilikuwa kinaitwa santuri, ole wako upige santuri hiyo hiyo mwanzo mwisho wa disco uone utavyotolewa nduki!
 
Bado anaendelea na maigizo badala akachunge.
Mbona hao wachache wenzake Tanga walimpenda mpaka wakazimia Musoma mpaka wakadeki barabara naona maigizo season mpya inaendelea.
Mzee kachunge Maigizo waachie Kaole na nyumbu wachanga
Iv bado mnaami Tz kuna upnzan wa kwel jaman amken tunachezwa shere tutaongozwa na CCm had mwsho wa dunia hakuna mpnzan atakaepewa urais nchiii hii
Tulizeni wowowo nyie,mnaongea kana kwamba nyie ndio mnaojua future!...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…