Lowassa aitikisa Igunga

I tutafanyaje ili kupata matokeo halal ya chaguz zetu honestly Siamin kama ccm Walishinda kwa hak 2015
 
Mkuu kajiunge na akina Mpoki na Joti. Wana maswali kama yako, utasikia wakiuliza, mwewe ni ndege lakini mbona hapakii abiria? Maswali ya kijinga, watu wanacheka wao wanaingiza pesa! Sasa mkuu unasubiri nini wakati kipaji unacho?
Yaani unanilazimisha nijibu pumba sio?
 
Niliposoma kichwa cha habari kweli nilitaka kujua kama mtisiko huo hakuna majeruhi.
 
kazi nzuri kwenye chama. Swali la kizushi hivi ni kweli lowassa amegoma kabisa kuvaa gwanda au chadema hawataki kumshonea?
 
Kwa kweli Igunga imetikisika. Mpaka nyumba zimeanguka


Ila Edo jamani kiboko. Kipindi kile alifanya wanaume wazima kupiga deki barabara. Hii haitakaa itokee tena!
 
chadema qalipata jembe, ccm 2020 kupata viti 50 tuu vya ubunge..
 
ukumbi ulitapika watu,hakika huyu ndiye yule,hakuna mwingine
 
Hawa chadema wakistuka watakuta manyoya.muacheni tu asimike vibaraka wake mkitahamaki kakamata kanda zote hapo ndipo hata Mwanahabari Huru utatikisika
 
Lowassa ni sawa na NYOKA
Wa bujora makumbusho
Anatisha kwa sura lakini
Hana madhara hata kidogo
Yeye afanye mbwembwe zake
Zote maigizo yake yote ila ikulu
Ataiona kwenye tv tu hana nyota
Ya uongozi uwaziri mkuu ulimshinda ije kuwa urais
 
Hata kwenye Uchaguzi Mkuu kulikuwa na viuzi uchwara kama hivi... Mara Lowassa katikisa Mbeya, Ooooh mara Katikisa Dar, mara Arusha... na saizi mmeanza Tena kutengeneza mitikiso yenu ya kutunga na Picha za kutengenezwa kwa computer (photoshop).... Kweli nimeamini Nyie ni upinzani Uchuro na hamna lolote la maana katika nchi hii. Poleni kwa fikra zenu za uwongo mtupu. Karibuni ulingononi 2020, Saizi ni Muda wa kazi tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…