Unawaza kwenye 2-D wakati wenzio tayari tuko kwenye 3-D,hapo hautaelewa chochote siasa ni mikakati na mbinu kama una akili nyepesi kuliko pamba hautaweza kuelewa
Unawaza kwenye 2-D wakati wenzio tayari tuko kwenye 3-D,hapo hautaelewa chochote siasa ni mikakati na mbinu kama una akili nyepesi kuliko pamba hautaweza kuelewa
Usijifanye huelewi! Ulitaka mleta thread katika andiko lake aonyeshe nyumba zilizobomoka kutokana na mtikisiko uliosababishwa na Lowasa kuwa Igunga. Nami nimekwambia mtikisiko wa nyumba ulitokea kule ambako rambirambi zao mmeingia nazo mitini, mtikisiko wa Igunga sio wa aina hiyo, bali polisi wa Igunga wanaweza kukueleza! Huelewi nini sasa?
Mkuu hizo ni siasa tu, wanasiasa karibu wote ni vigeugeu! JPM wakati wa kampeni alisema, "nchi hii imefika hapa ilipo kwa sababu ya mafisadi, na nikiwa raisi nitaanzisha mahakama ya mafisadi". Na kweli ametimiza hiyo ahadi ya mahakama ya mafisadi. Sasa sikia hii, "siwezi kufukua makaburi kwa sababu mengine hatutaweza kuyafukia". Sasa jiulize bila kufukua makaburi atawapata wapi hao mafisadi walioifikisha nchi kwenye hali mbaya? Kigeugeu....! Usimwamini mwanasiasa hata.kama ni ndugu yako!