1. JAMES MBATIA amekuwa mwanachama na mdau wa CHADEMA kuliko NCCR MAGEUZI
2. FREDRICK SUMAYE amekuwa muhimu UKAWA kuliko wanachama wa CHADEMA, NCCR, CUF na NLD walioanzisha UKAWA
3. Viongozi wa upinzani wameporomoka kifikra kabisa wapo tayari kukana hata majina yao kumfurahisha LOWASSA
4. Vijana wa UKAWA wamekuwa mafundi wa kufanya editing ya picha fake kupotosha umma kwa uongo kutafuta huruma kwa umma
5. GODLESS LEMA amepunguza tabia ya kuundaa mipango ya kujiteka ili aseme mafisadi wanataka kumuua
6. CUF imebaki zanzibar tu huku Bara hata jina tunaanza kulisahau kabisa
7. Vijana na viongozi wa UKAWA wanampenda na kumuabudu LOWASSA kuliko hata Mungu wao, kubwa kuliko wengine wapo tayari kusema kijani ni njano kumfurahisha mzee
8. Mke wa LOWASSA yaani Regina LOWASSA amekuwa mwenyekiti wa BAWACHA taifa HALIMA MDEE amekuwa mbeba ma file wa REGINA LOWASSA.
9. Wapinzani Tanzania wamekuwa waigizaji wazuri kuliko hata wasanii wetu wa bongo movies yaani wanapiga maigizo mzee MAJUTO hagusi nadhani watakuwa na muigizaji nguli kwenye team ya kampeni.
Haya ndio matatzo ya kutumia viroba wakat wa ujauzito
Unakuwa na mawazo mgando tu kila mda
Chadema haina Chadema asili labda kwenye ccm yenu.
Huku mwanachama ni mwanachama tu.
1. JAMES MBATIA amekuwa mwanachama na mdau wa CHADEMA kuliko NCCR MAGEUZI
2. FREDRICK SUMAYE amekuwa muhimu UKAWA kuliko wanachama wa CHADEMA, NCCR, CUF na NLD walioanzisha UKAWA
3. Viongozi wa upinzani wameporomoka kifikra kabisa wapo tayari kukana hata majina yao kumfurahisha LOWASSA
4. Vijana wa UKAWA wamekuwa mafundi wa kufanya editing ya picha fake kupotosha umma kwa uongo kutafuta huruma kwa umma
5. GODLESS LEMA amepunguza tabia ya kuundaa mipango ya kujiteka ili aseme mafisadi wanataka kumuua
6. CUF imebaki zanzibar tu huku Bara hata jina tunaanza kulisahau kabisa
7. Vijana na viongozi wa UKAWA wanampenda na kumuabudu LOWASSA kuliko hata Mungu wao, kubwa kuliko wengine wapo tayari kusema kijani ni njano kumfurahisha mzee
8. Mke wa LOWASSA yaani Regina LOWASSA amekuwa mwenyekiti wa BAWACHA taifa HALIMA MDEE amekuwa mbeba ma file wa REGINA LOWASSA.
9. Wapinzani Tanzania wamekuwa waigizaji wazuri kuliko hata wasanii wetu wa bongo movies yaani wanapiga maigizo mzee MAJUTO hagusi nadhani watakuwa na muigizaji nguli kwenye team ya kampeni.
CHADEMA IMEGAWANYIKA KATIKA MAKUNDI MENGI
Chadema asili-wafuasi wa Slaa
Chadema kaskazini-ikiongozwa na Mbowe
Chadema maslahi-lowassa,sumaye,makongoro mahanga,masha na wafanyabiashara na mafisadi.
Chadema makapi-hawa ndio wale nyumbu waliotoka kwenye ile safari ya matumaini.wanajiita ulipo tupo,4u na team lowassa.
Chadema majuto-hapa kuna kina professa safari,lissu,lema,kigaila,patrobas,ben saanane na wengine.hawa wanafia na tai shingoni baada ya kujua kuwa lowassa kawaingiza choo cha kike.
amekuridhisha tu kura sirisawa ila ninachoju ni mke wangu alikuwa anataka kumpigia magufuli nimemwelisha naye tupo pamoja atampigia kura lowassa, pia house girl amebadilishwa na mke wangu naye atampigia kura lowasa.
Kuna kila dalili za kurudi ccm
lakin hatupokei watu wasiona kitu kichwan kama sumaye
majizi ya menjo ya tembo huko ulanga