Lowassa aiteka CHADEMA

Lowassa aiteka CHADEMA

Ubora

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2015
Posts
664
Reaction score
255
1. JAMES MBATIA amekuwa mwanachama na mdau wa CHADEMA kuliko NCCR MAGEUZI

2. FREDRICK SUMAYE amekuwa muhimu UKAWA kuliko wanachama wa CHADEMA, NCCR, CUF na NLD walioanzisha UKAWA

3. Viongozi wa upinzani wameporomoka kifikra kabisa wapo tayari kukana hata majina yao kumfurahisha LOWASSA

4. Vijana wa UKAWA wamekuwa mafundi wa kufanya editing ya picha fake kupotosha umma kwa uongo kutafuta huruma kwa umma

5. GODLESS LEMA amepunguza tabia ya kuundaa mipango ya kujiteka ili aseme mafisadi wanataka kumuua

6. CUF imebaki zanzibar tu huku Bara hata jina tunaanza kulisahau kabisa

7. Vijana na viongozi wa UKAWA wanampenda na kumuabudu LOWASSA kuliko hata Mungu wao, kubwa kuliko wengine wapo tayari kusema kijani ni njano kumfurahisha mzee

8. Mke wa LOWASSA yaani Regina LOWASSA amekuwa mwenyekiti wa BAWACHA taifa HALIMA MDEE amekuwa mbeba ma file wa REGINA LOWASSA.

9. Wapinzani Tanzania wamekuwa waigizaji wazuri kuliko hata wasanii wetu wa bongo movies yaani wanapiga maigizo mzee MAJUTO hagusi nadhani watakuwa na muigizaji nguli kwenye team ya kampeni.
 
Ubora

Tangulini CCM ikaitakia mema CHADEMA?Magufuli hafai kabisa kuwa rais
 
Last edited by a moderator:
Sawa ila ninachoju ni mke wangu alikuwa anataka kumpigia Magufuli nimemwelisha naye tupo pamoja atampigia Kura Lowassa, pia house girl amebadilishwa na mke wangu naye atampigia kura Lowasa.
 
sawa ila ninachoju ni mke wangu alikuwa anataka kumpigia magufuli nimemwelisha naye tupo pamoja atampigia kura lowassa, pia house girl amebadilishwa na mke wangu naye atampigia kura lowasa.

ccm ni ukoma
 
Ukweli wa habari yako utajulikana tarehe 25 October 2015.
 
Huu muda mleta uzi ungetushawishi tuje tuangalie mipushapu mingapi itapigwa leo:thumbdown::thumbdown:😀😀
 
lowasa atakachowafanya hawa cdm ,hawatasau,,,,,
kwanza lazima wamsafishe kwa matope waliyompaka
 
Hivi baada ya uchaguzi Sumaye atabakia kuwa na chama gani?
 
1. JAMES MBATIA amekuwa mwanachama na mdau wa CHADEMA kuliko NCCR MAGEUZI

2. FREDRICK SUMAYE amekuwa muhimu UKAWA kuliko wanachama wa CHADEMA, NCCR, CUF na NLD walioanzisha UKAWA

3. Viongozi wa upinzani wameporomoka kifikra kabisa wapo tayari kukana hata majina yao kumfurahisha LOWASSA

4. Vijana wa UKAWA wamekuwa mafundi wa kufanya editing ya picha fake kupotosha umma kwa uongo kutafuta huruma kwa umma

5. GODLESS LEMA amepunguza tabia ya kuundaa mipango ya kujiteka ili aseme mafisadi wanataka kumuua

6. CUF imebaki zanzibar tu huku Bara hata jina tunaanza kulisahau kabisa

7. Vijana na viongozi wa UKAWA wanampenda na kumuabudu LOWASSA kuliko hata Mungu wao, kubwa kuliko wengine wapo tayari kusema kijani ni njano kumfurahisha mzee

8. Mke wa LOWASSA yaani Regina LOWASSA amekuwa mwenyekiti wa BAWACHA taifa HALIMA MDEE amekuwa mbeba ma file wa REGINA LOWASSA.

9. Wapinzani Tanzania wamekuwa waigizaji wazuri kuliko hata wasanii wetu wa bongo movies yaani wanapiga maigizo mzee MAJUTO hagusi nadhani watakuwa na muigizaji nguli kwenye team ya kampeni.

Afu wanasema watambadili lowasa
Hahaha
lowasa amewateka
akawanunua na sasa kila kitu n yeye tu

Ukawa kwisney
asanten kwa kujaribu
 
"Tulianza na Mungu tutamaliza na Mungu " sijui imefia wapi.!
 
Hivi baada ya uchaguzi Sumaye atabakia kuwa na chama gani?

Kuna kila dalili za kurudi ccm
lakin hatupokei watu wasiona kitu kichwan kama sumaye
majizi ya meno ya tembo huko ulanga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom