Waziri Mkuu wa Zamani na Mbunge wa Monduli aliye jiuzulu kwa Kashfa ya Ufisadi,Mh Edward Ngoyai Lowassa,ameendeleza ndoto zake za Mchana,kwamba endapo CCM itatekeleza kwa usahihi Maagizo na Maelekezo ya Mkutano Mkuu wa Ccm,basi itakuwa ni rahisi kwa Chama hicho kushinda Uchaguzi ujao bila shida.!
Source: Gazeti la Jambo Leo!
Waziri Mkuu Mlazimishwa Kujiuzulu.Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli......
Chadema kuingia ikulu ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano! Haitawezekana mara mia elfu kukiachia chakula cha watoto wako kwa mbwa mwenye njaa wewe mzazi utaönekana mjinga na hamnazo kichwani mwako!