Lowassa aipa jeuri UKAWA

Lowassa aipa jeuri UKAWA

Hakuna Msaliti mkuu anayeitafuna cdm kama mbowe.......ameshauza chama kwa mchungaji........sasa nyumbu mnabakia kushabikia jina tu......BTW vuli imeanza vipi mifugo ya mzeri na monduli....imenona ama?
Jamaa kamejikomba komba wapi mwisho wa siku kanatupwa kama zigo la kuni pwaaaaaaaaa
 
Ur puting nonsense abbreviation now.....kweli kichaa hujiona mzima miongoni mwa wazima
Hayo ni maneno tu hata kwenye khanga yapo,ila ukweli mwenyewe unaujua kuwa jamaa yako kaangukia lipua lake pwaaaaaaaaaaaaaa
 
Jamaa kamejikomba komba wapi mwisho wa siku kanatupwa kama zigo la kuni pwaaaaaaaaa
Mshindo wa Lowasa kushindwa urais ulikuwa na harufu nzito ya geita.............unpleasant
 
Magufuli hana sababu ya kumhofia fisadi Lowasa
Umesikia ya TANROAD? Posho ya siku 9 wakawa wanajilipa siku 90 wakati huo tingatinga lipo huko.
Ngoja waendelee kuchimba kama hatujasikia makubwa zaidi.
 
Tehe tehe tehe. Wanatafuta namna ya kumfunika Dr. Slaa. Dr. NI KISIKI CHA MPINGO.
...bado mnajifanya vipofu sio,yale mafuriko siku ile pale biafra, m/kiti wenu aliwaambia ni picha ya kutengeneza sio?!, basi na hao mameya bado ni picha ya kutengeneza pia,au vipi?!
endeleeni kujificha kwenye gamba.
 
Dar\ Mikoani. Wakati katibu mkuu wa zamani wa CHADEMA, Dk Willibrod Slaa akitangaza kujiondoa chama hicho, aliacha maswali ya kutathmini ujio wa Edward Lowassa kama utakuwa mzigo au mali kwa vyama vya upinzani, na sasa wilaya za Ilala na Kinondoni zimekamilisha majibu.

Ushindi wa kwanza wa vyama vya upinzani katika nafasi ya umeya za manispaa hizo mbili umeonyesha nguvu ya waziri huyo mkuu wa zamani aliyotoka nayo chama tawala.

Ushindi huo ambao unavifanya vyama vya CHADEMA na CUF kuelekea kutwaa umeya wa Jiji la Dar es Salaam, pamoja na mwingine kwenye majiji ya Mbeya na Arusha umedhihirisha nguvu ya Lowassa, ambaye aligombea urais kwa tiketi ya CHADEMA na kuungwa mkono na vyama vingine vitatu, CUF, NLD na NCCR Mageuzi vilivyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

“Lowassa ameiteka Dar,” alisema Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu kwenye mahojiano na gazeti la Mwananchi kabla ya madiwani wa CUF na Chadema kushinda viti vya umeya wa Ilala na Kinondoni mwishoni mwa wiki.
“Tangu upinzani uingie nchini haujawahi kuishika Dar.”

Lissu, ambaye ni mbunge wa Singida Mashariki, alisema Lowassa ameweza kuvipa vyama hivyo nafasi ya kuongoza halmashauri jambo ambalo linathibitisha kuwa alikuwa ni mali na si mzigo kwao.

Katika uchaguzi wa meya wa Manispaa ya Kinondoni, diwani wa Ubungo, Boniface Jackob alishinda kwa kupata kura 38, huku Jumanne Mbulu wa CUF akitwaa unaibu meya. Kwenye Manispaa ya Ilala, Charles Kayeko (CHADEMA) alishinda umeya na Omari Kumbilamoto wa CUF alitwaa unaibu.

Ushindi huo ni wa kwanza kwa vyama vya upinzani jijini Dar es Salaam tangu kurejeshwa kwa siasa za ushindani mwaka 1992.

Mbali na ushindi huo, Ukawa imefanikiwa kutwaa viti kadhaa kwenye halmashauri ambazo zilikuwa mikononi mwa CCM hivyo kuongeza wigo wao kwenye uongozi.
Mkoani Kilimanjaro, Chadema imeshika halmashauri sita kati ya saba ambazo ni Moshi Mjini, Hai, Rombo, Moshi Vijijini na Siha wakati mkoani Mbeya, CHADEMA imechukua halmashauri ya jiji hilo, pamoja na ile ya mji wa Tunduma.

Mkoani Arusha na Manyara, CHADEMA na Ukawa zimechukua Halmashauri ya Jiji la Arusha, Monduli, Karatu, Arumeru Mashariki, Arumeru Magharibi na Babati Mjini, wakati mkoani Kagera Ukawa imechukua Manispaa ya Bukoba na mji mdogo wa Kayanga.
Mkoani Mtwara, CUF na Ukawa zimechukua halmashauri ya Tandahimba, Mtwara Mjini na Newala Mjini huku mkoani Lindi ikichukua Kilwa.

Mkoani Mara, CHADEMA kupitia Ukawa inaongoza halmashauri ya Serengeti, Tarime Vijijini na Tarime Mjini.

Mkoani Morogoro, UKAWA imechukua halmashauri ya Kilombero na Ifakara huku mkoani Iringa ikichukua ile ya Iringa Mjini.
Kwa mujibu wa Lissu ongezeko la halmashauri kuwa chini ya wapinzani limechangiwa na waziri huyo mkuu wa zamani aliyejiuzulu mwaka 2008.

Alipoulizwa kuhusu nguvu hiyo ya Lowassa, Profesa Gaudence Mpangala wa Chuo Kikuu cha Ruaha, alisema mbunge huyo wa zamani wa Monduli ameleta chachu ya kupata madiwani na wabunge wengi ingawa muungano wa Ukawa nao umesaidia.
“UKAWA ndiyo kiini cha mafanikio, lakini chachu kubwa ni Lowassa kujiunga na CHADEMA kwa kuwa alikuwa na wafuasi wengi,” alisema Profesa Mpangala.

Alisema hata kusingekuwa na Ukawa wala Lowassa kujiunga na CHADEMA, CHADEMA imekuwa ikikua mwaka hadi mwaka kwa kuongeza idadi ya wawakilishi katika uchaguzi.
umejisahau kuwa uo ni muungano wa ukawa ndo umeweza kuleta ushind na si lowasa kwanza uenda lowasa alichangia kushuka kwa ushindi wa ukawa kati ya halmashauri 157 cdm wamechukua ngap
 
Zzk hoiiiiii kaangukia lipua teeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeh
Ulisema ZZK hatashinda Ubunge mwaka 2015, kwa hiyo umebadili gia angani na sasa ni ujumbe wa PAC?
 
Amshukuru sana mgwira bila yeye hasingeambulia kitu maana zzk hakubaliki popote
 
Dar\ Mikoani. Wakati katibu mkuu wa zamani wa CHADEMA, Dk Willibrod Slaa akitangaza kujiondoa chama hicho, aliacha maswali ya kutathmini ujio wa Edward Lowassa kama utakuwa mzigo au mali kwa vyama vya upinzani, na sasa wilaya za Ilala na Kinondoni zimekamilisha majibu.

Ushindi wa kwanza wa vyama vya upinzani katika nafasi ya umeya za manispaa hizo mbili umeonyesha nguvu ya waziri huyo mkuu wa zamani aliyotoka nayo chama tawala.

Ushindi huo ambao unavifanya vyama vya CHADEMA na CUF kuelekea kutwaa umeya wa Jiji la Dar es Salaam, pamoja na mwingine kwenye majiji ya Mbeya na Arusha umedhihirisha nguvu ya Lowassa, ambaye aligombea urais kwa tiketi ya CHADEMA na kuungwa mkono na vyama vingine vitatu, CUF, NLD na NCCR Mageuzi vilivyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

“Lowassa ameiteka Dar,” alisema Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu kwenye mahojiano na gazeti la Mwananchi kabla ya madiwani wa CUF na Chadema kushinda viti vya umeya wa Ilala na Kinondoni mwishoni mwa wiki.
“Tangu upinzani uingie nchini haujawahi kuishika Dar.”

Lissu, ambaye ni mbunge wa Singida Mashariki, alisema Lowassa ameweza kuvipa vyama hivyo nafasi ya kuongoza halmashauri jambo ambalo linathibitisha kuwa alikuwa ni mali na si mzigo kwao.

Katika uchaguzi wa meya wa Manispaa ya Kinondoni, diwani wa Ubungo, Boniface Jackob alishinda kwa kupata kura 38, huku Jumanne Mbulu wa CUF akitwaa unaibu meya. Kwenye Manispaa ya Ilala, Charles Kayeko (CHADEMA) alishinda umeya na Omari Kumbilamoto wa CUF alitwaa unaibu.

Ushindi huo ni wa kwanza kwa vyama vya upinzani jijini Dar es Salaam tangu kurejeshwa kwa siasa za ushindani mwaka 1992.

Mbali na ushindi huo, Ukawa imefanikiwa kutwaa viti kadhaa kwenye halmashauri ambazo zilikuwa mikononi mwa CCM hivyo kuongeza wigo wao kwenye uongozi.
Mkoani Kilimanjaro, Chadema imeshika halmashauri sita kati ya saba ambazo ni Moshi Mjini, Hai, Rombo, Moshi Vijijini na Siha wakati mkoani Mbeya, CHADEMA imechukua halmashauri ya jiji hilo, pamoja na ile ya mji wa Tunduma.

Mkoani Arusha na Manyara, CHADEMA na Ukawa zimechukua Halmashauri ya Jiji la Arusha, Monduli, Karatu, Arumeru Mashariki, Arumeru Magharibi na Babati Mjini, wakati mkoani Kagera Ukawa imechukua Manispaa ya Bukoba na mji mdogo wa Kayanga.
Mkoani Mtwara, CUF na Ukawa zimechukua halmashauri ya Tandahimba, Mtwara Mjini na Newala Mjini huku mkoani Lindi ikichukua Kilwa.

Mkoani Mara, CHADEMA kupitia Ukawa inaongoza halmashauri ya Serengeti, Tarime Vijijini na Tarime Mjini.

Mkoani Morogoro, UKAWA imechukua halmashauri ya Kilombero na Ifakara huku mkoani Iringa ikichukua ile ya Iringa Mjini.
Kwa mujibu wa Lissu ongezeko la halmashauri kuwa chini ya wapinzani limechangiwa na waziri huyo mkuu wa zamani aliyejiuzulu mwaka 2008.

Alipoulizwa kuhusu nguvu hiyo ya Lowassa, Profesa Gaudence Mpangala wa Chuo Kikuu cha Ruaha, alisema mbunge huyo wa zamani wa Monduli ameleta chachu ya kupata madiwani na wabunge wengi ingawa muungano wa Ukawa nao umesaidia.
“UKAWA ndiyo kiini cha mafanikio, lakini chachu kubwa ni Lowassa kujiunga na CHADEMA kwa kuwa alikuwa na wafuasi wengi,” alisema Profesa Mpangala.

Alisema hata kusingekuwa na Ukawa wala Lowassa kujiunga na CHADEMA, CHADEMA imekuwa ikikua mwaka hadi mwaka kwa kuongeza idadi ya wawakilishi katika uchaguzi.
kwa maneno yenye busara unaweza kusema CCM wamefukuzwa mjini
 
Wewe ni mpuuzi na fala kwa kumdharau Dr Slaa. Kushikilia Majiji Matano kwa kura za kununua za Fisadi Lowassa hakumaanishi kwamba CDM ni Chama imara. Subiri 2019 uone cha mtema kuni!
 
Hongera Mh Rais Wa mioyo ya watanzania, jasho LA MTU haliliwi bure hakika utaipata haki yako waliokung'anya
 
Back
Top Bottom