Acha awadanganye,naamini sana jeshi letu kua imara na lenye nidhamu,pia naamini watanzania wengi kua wenye hekima,hofu,usikivu na kujishusha,ukiwa na watu wa hvyo hata nusu ya wanainchi amani itakuwepo.asiogopeshe watu kwa njia zake mbaya!
Jeshi ndio linalinda amani au unaandika tu mkuu???,yaani watu wanajaribu kutibua utulivu ulipo kwa kigezo kuwa jeshi lipo imara!!!Acha awadanganye,naamini sana jeshi letu kua imara na lenye nidhamu,pia naamini watanzania wengi kua wenye hekima,hofu,usikivu na kujishusha,ukiwa na watu wa hvyo hata nusu ya wanainchi amani itakuwepo.asiogopeshe watu kwa njia zake mbaya!
Membe-ushindi ni lazima ccm,ikishindikana tutakutana na lowassa msituni.Toa mfano.CCM NDIO CHAMA CHA AMANI.
UKAWA haiheshimu hata polisi
msamiati wa kushindwa haupo tume ikiwa huru,ndio anachosisitiza.Kwa nini ana hofu? Alikwisha kutuambia kuwa hajui maana ya kushindwa kwa hiyo inaonekana atakataa matokeo hata kama tume itaFanya kazi yake vizuri.
El aache uoga na acpime wingi wa Kura kwa mikutano ya kampenini akajipa mia kwa mia.Amani ya nchi kweli iko mikononi mwa NEC. Haki isipotendeka hasa wakati wa wa KUHESABU na KUJUMLISHA kura zilizopigwa na wananchi, wajue tu kwa mara ya kwanza tangu UHURU nchi itawaka moto!! Watu wamechoka na kunyimwa haki yao ya kuchagua wawapendao!! UKAWA wawe makini sio wakati wa kuhesabu tu bali hasa WAKATI WA KUJUMLISHA kura zilizobandikwa kwenye vituo; hapa ndipo magamba wanaweza kubadilisha matokeo!!
CCM na NEC wanataka kuleta machafuko nchini..... Kwa kuwa timu ya ICC washatua tunaomba watoe tamko haraka sana...
Amesema kwa nini anahisi tume haiko huru?
Naona umeandika kama mwandishi wa NIPASHE!
Ndio umeandika nini sasa hapo. . . . ??!!!
Hizo namba alizotaja zimeathiri nini katika utendaji wa tume???!!!
Fikiria kwa umakini sio kuandika tu. . . .
Miaka yote aliyokuwa mbunge na waziri mkuu alifanya nini kuwa NEC inakuwa huru? Wiki moja kabla ya uchaguzi ndio amajua umuhimu wa hili? Silly politician! Incompetent leader - if the two can be used in the same sentence.
Toa mfano.CCM NDIO CHAMA CHA AMANI.
UKAWA haiheshimu hata polisi
Amani ya nchi kweli iko mikononi mwa NEC. Haki isipotendeka hasa wakati wa wa KUHESABU na KUJUMLISHA kura zilizopigwa na wananchi, wajue tu kwa mara ya kwanza tangu UHURU nchi itawaka moto!! Watu wamechoka na kunyimwa haki yao ya kuchagua wawapendao!! UKAWA wawe makini sio wakati wa kuhesabu tu bali hasa WAKATI WA KUJUMLISHA kura zilizobandikwa kwenye vituo; hapa ndipo magamba wanaweza kubadilisha matokeo!!
Lowassa si mgonjwa tu anaropoka bila mpango.
Robot kazini.
Lowassa si mgonjwa tu anaropoka bila mpango.
Robot kazini.
Wewe mwongo.hakusema haya na hakutoa onyo.hakuna mgombea anaweza kuionya NEC