Lowassa aionya Tume ya Uchaguzi

Lowassa aionya Tume ya Uchaguzi

eden kimario

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
10,356
Reaction score
16,400
Mgombea urais anaesubiri kuapishwa Edward Lowassa akiwa katika jimbo la Magu ameitaka tume ya uchaguzi kuwa makini kama kweli tume hiyo iko huru la sivyo wataiingiza nchi katika matatizo makubwa ambayo hayajawahi kutokea nchini.

Lowassa amewataka tume kuwa makini pasipo kuyumbishwa kwa kuwa amani ya nchi hii iko mikononi mwao.Alisema anasikitishwa sana na maelezo yanayotolewa na tume hiyo huku akihoji wapi uhuru wa tume hiyo kama walivyodai mwanzo kuwa wako huru.

Lowassa pia ameitaka serikali ya CCM kutocheza na amani ya nchi hii.
 
Amesema kwa nini anahisi tume haiko huru?
Naona umeandika kama mwandishi wa NIPASHE!
 
Lowasa acha kujifyatua unajua unashindwa kuwa muwazi kwa mafisadi wenzio
 
Mgombea urais anaesubiri kuapishwa Edward Lowassa akiwa katika jimbo la Magu ameitaka tume ya uchaguzi kuwa makini kama kweli tume hiyo iko huru la sivyo wataiingiza nchi katika matatizo makubwa ambayo hayajawahi kutokea nchini.

Lowassa amewataka tume kuwa makini pasipo kuyumbishwa kwa kuwa amani ya nchi hii iko mikononi mwao.Alisema anasikitishwa sana na maelezo yanayotolewa na tume hiyo huku akihoji wapi uhuru wa tume hiyo kama walivyodai mwanzo kuwa wako huru.

Lowassa pia ameitaka serikali ya CCM kutocheza na amani ya nchi hii.

Acha awadanganye,naamini sana jeshi letu kua imara na lenye nidhamu,pia naamini watanzania wengi kua wenye hekima,hofu,usikivu na kujishusha,ukiwa na watu wa hvyo hata nusu ya wanainchi amani itakuwepo.asiogopeshe watu kwa njia zake mbaya!
 
Mgombea urais anaesubiri kuapishwa Edward Lowassa akiwa katika jimbo la Magu ameitaka tume ya uchaguzi kuwa makini kama kweli tume hiyo iko huru la sivyo wataiingiza nchi katika matatizo makubwa ambayo hayajawahi kutokea nchini.

Lowassa amewataka tume kuwa makini pasipo kuyumbishwa kwa kuwa amani ya nchi hii iko mikononi mwao.Alisema anasikitishwa sana na maelezo yanayotolewa na tume hiyo huku akihoji wapi uhuru wa tume hiyo kama walivyodai mwanzo kuwa wako huru.

Lowassa pia ameitaka serikali ya CCM kutocheza na amani ya nchi hii.

Wewe mwongo.hakusema haya na hakutoa onyo.hakuna mgombea anaweza kuionya NEC
 
kitendo cha jk kuingilia tume kimeonyesha tume hii haiko huru. kwa mfano jk anasema wapiga kura walioandikishwa ni milioni 28 huku tume ikidai wapiga kura walioandikishwa ni milioni 22. hapo kuna maswali mengi kuliko majibu...
 
Ndio umeandika nini sasa hapo. . . . ??!!!
Hizo namba alizotaja zimeathiri nini katika utendaji wa tume???!!!

Fikiria kwa umakini sio kuandika tu. . . .
 
Amesema kwa nini anahisi tume haiko huru?
Naona umeandika kama mwandishi wa NIPASHE!

kabla hajakupa jibu, hebu tupe jina la mbunge wa upinzani aliyewahi kushinda bila ya wananchi kukaa mita 100 na kulinda kura zao.
Mfano. Joshua nasari, aliletewa chupa za chai zilizoshehena kura za mgombea.
 
Mpaka sasa amani ya nchi iko mashakani,matamko yanayotolewa na viongozi wa CCM ni kichocheo cha uvunjifu wa amani.
 
Toa mfano.CCM NDIO CHAMA CHA AMANI.
UKAWA haiheshimu hata polisi
 
Mgombea urais anaesubiri kuapishwa Edward Lowassa akiwa katika jimbo la Magu ameitaka tume ya uchaguzi kuwa makini kama kweli tume hiyo iko huru la sivyo wataiingiza nchi katika matatizo makubwa ambayo hayajawahi kutokea nchini.

Lowassa amewataka tume kuwa makini pasipo kuyumbishwa kwa kuwa amani ya nchi hii iko mikononi mwao.Alisema anasikitishwa sana na maelezo yanayotolewa na tume hiyo huku akihoji wapi uhuru wa tume hiyo kama walivyodai mwanzo kuwa wako huru.

Lowassa pia ameitaka serikali ya CCM kutocheza na amani ya nchi hii.

Kwa nini ana hofu? Alikwisha kutuambia kuwa hajui maana ya kushindwa kwa hiyo inaonekana atakataa matokeo hata kama tume itaFanya kazi yake vizuri.
 
Mgombea urais anaesubiri kuapishwa Edward Lowassa akiwa katika jimbo la Magu ameitaka tume ya uchaguzi kuwa makini kama kweli tume hiyo iko huru la sivyo wataiingiza nchi katika matatizo makubwa ambayo hayajawahi kutokea nchini.

Lowassa amewataka tume kuwa makini pasipo kuyumbishwa kwa kuwa amani ya nchi hii iko mikononi mwao.Alisema anasikitishwa sana na maelezo yanayotolewa na tume hiyo huku akihoji wapi uhuru wa tume hiyo kama walivyodai mwanzo kuwa wako huru.

Lowassa pia ameitaka serikali ya CCM kutocheza na amani ya nchi hii.
Jamani muwe na kiasi, hizi ni dalili za vurugu!! hata kura hatujapiga!!! Halafu utafikiri kula zote unapiga peke yako? Tafadhalini jamani tuweke na akiba ya maneno.
 
Amesema kwa nini anahisi tume haiko huru?
Naona umeandika kama mwandishi wa NIPASHE!

Sasa tume iko huru wakati msemaji Wa tume ni Jakaya ??? Uhuru uko wapi hapo ,rejea hotuba ya Jakaya ya Oct 14/2015
 
Amani ya nchi kweli iko mikononi mwa NEC. Haki isipotendeka hasa wakati wa wa KUHESABU na KUJUMLISHA kura zilizopigwa na wananchi, wajue tu kwa mara ya kwanza tangu UHURU nchi itawaka moto!! Watu wamechoka na kunyimwa haki yao ya kuchagua wawapendao!! UKAWA wawe makini sio wakati wa kuhesabu tu bali hasa WAKATI WA KUJUMLISHA kura zilizobandikwa kwenye vituo; hapa ndipo magamba wanaweza kubadilisha matokeo!!
 
Back
Top Bottom