@ Ben Saanane, Hakulazimishwa kujiuzulu. Taarifa ilitamka 'ajiangalie halafu achukue uamuzi'. Hakuna sehemu yoyote aliyolazimishwa kujiuzulu. Tatizo mlisha tembea sana na hoja ya ufisadi, sasa ni monotonous kuzidi kuishadidia. Hapo Lowasa ndipo anaawacha kuelekea touch line. 2015 mtarudi tena na hoja ya ufisadi, imeshawachosha watu masikioni.
Anaandaliwa na CDM kuchukua nafasi ya SLAA, wanaona anafiti kutokana na kuwa mkristo kuliko kumpa ZITTO nafasi hiyo.
Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli amedhihirisha nguvu kubwa na utajiri wa watu aliyonao, baada ya kupata mapokezi makubwa Mkoani Iringa.Lowassa amewasili Iringa asubuhi hii akiongozana na wabunge karibu wote wa mkoa wa Iringa,kwa ajali ya Harambee ya ujenzi wa kanisa na Kituo Cha radio Cha overcomers.viongozi wote wa Chama tawala Mkoani Iringa na Serikali nzima imempokea Mh Lowassa.
hiyo ndiyo kweli, huyu EL siku zote huwa anaandaa mapokezi yake mwenyewe, anakazana sana ili 2015 wae mgombea kwa tiketi ya CCM. na kwa sababu sheria ya uchaguzi inaweza isiwe tayari, atapita kwa kuchakachua. Mungu aepushie mbali.Hayo Mapokezi atakuwa amejiandalia yeye Mwenyewe, ni sawa na wewe un akuwa na Part home, Unaandaa kila kitu mwenyewe na baadae sasa unaoga unavaa freshi na unakaa kusubiria uhudumiwe msosi na vinywaji ulivyo andaa mwenyewe
Ben acha noma, huyu MASTER ni mtendaji, akipata nchi kwa kazi atayopiga Watanzania miioyo itasuuzika.
Hakika, Mambo ya toba ni mambo ya kiroho, mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke hawezi kuyaingilia. Watanzania hawatampigia mtu yeyote, kura kwa kuamini bali kwa kuona matendo yake ya ukweli na daima ukweli huwa unajitenga na uongo hatimaye!akhsante sana mkuu,hapo upo sawa sawia,tatizo letu sisi tunavyoangalia mtu ni tofauti na Mungu anavyoangalia.mtu akiwa ametenda kosa juzi,jana na leo ametenda mazuri,je ni haki kumhukumu kwa kosa la juzi ambalo inawezekana kabisa alishatubu?tuache kuhukumu tusije tukahukumiwa
Anaandaliwa na CDM kuchukua nafasi ya SLAA, wanaona anafiti kutokana na kuwa mkristo kuliko kumpa ZITTO nafasi hiyo.
kutafuta uraisi makanisani
Nami natafuta fursa kubwa ya kumzuia yeye na chama chake kuingia ikulu mwaka 2015.Vijana ndio tutakaoamua.Utendaji kazi bila uadilifu ni UHUNI.
Kuna kitu nashindwa kuelewa. Wabunge wapo iringa kuandamana nae. Na huku bunge linaendelea. Kwahyo wananchi wa baadhi ya majimbo ya iringa hawana wawakilishi kwa sasa bungeni. Ila wapo na huyo fisadi... Hayo yanayojadiliwa bungeni hayawahusu hao wananchi wa iringa? Naombeni tujadili hili.
Kazi ya kuhukumu dhambi za binaadam ni ya Mungu tu...