Lowassa afunguka akiwa Dodoma

Lowassa afunguka akiwa Dodoma

Hahaa! Kawapa sifa wengine baada ya kusema a alifanya yeye na bila yeye yasingewezekana. Yote ni sanaa tupu na wewe umenasa

Sasa sijakuelewa unabisha nini? na kila kitu kipo wazi? maamuzi managapi Pinda anashindwa kufanyakila wakati ansema anamsubiri bwana mkubwa?

yeye alikuwa natenda na akija kama hivi kuulizwa anasema alishahuriana na kupewa nguvu na bwana mkubwa kiasi credit zote anakupa wewe lakini wajanja tunajua ukweli huu wapi.

kiko wapi leo kwenye Elimu? hivi unafiukiri angekuwepo hali ingekuwaje?

Unazungumziaje swala la Elimu kwanza na sio kilimo kwanza?
 
Mkuu Nilichosema ni kwamba yote ni sanaa. Hii ni hatari sana kwa hatima ya nchi yetu. Watanzania wepesi sana kupofushwa. Udhaifu wa Pinda ama JK kama upo hausafishi uchafu wa Lowassa akawa anafaa kuliko Mtanzania yeyote. Hii ni sawa na enzi za Hitler na kwa Tanzania enzi za Mrema kwamba alionekana ndiye mkombozi kumbe alikuwa msanii. Historia itatuhukumu tunaonyamazia uhalifu huu. Hii ni dhuluma kwa Watanzania wasio na nafasi ya kujua undani wa mambo. Kuanzia mwanzo hadi mwisho haya mahojiano ni mkakati endelevu na sitoshangaa hapa napoteza muda watu wako kazini.
 
Swafi sana mtoto, njoo uchukue vitumbua
 
He is indeed a presidential material ... Vitu alivyovifanya ni tangibles viko wazi! Faida inaonekana wazi! Amenifurahisha sana alivyoweza kucheza na Miuungu watu waliko NSSF, PPF et al! Huyu ndo kiongozi mwenye maamuzi magumu! TOR yake anaisimamia na kuitekeleza kwa gharama yoyote ile! Hoja ya UFISADI ameweza kuipangua kwa style ya aina yake! Yeye si Mbadhirifu na anajua kutengeneza utajiri kupitia kipato chake! Wale wenye kuiba na kuficha kwenye kisiwa cha Jersy na Uswis wangetakiwa waige mfano wa Lowassa kwa kuzalisha ajira nchini... So far ukitoa Salim, Warioba sijaona mwenye afadhali ndani ya CCM zaidi ya Lowassa....Natamani wamnyime ili CCM ipasuke vipande vipande ....

dizain km nakuunga mkono vilee!!
 
Back
Top Bottom