Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
- Thread starter
- #21
Nijuavyo mimi hakuna hata Mmoja Kiongozi Msafi aliyekuwa hana makosa Tangu aondoke Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere. Na hapatatokea Kiongozi aliye Bora Zaidi ya Mwalimu Nyerere. Tukitaka kuwachaguwa Viongozi tuwachague tu Viongozi watuongoze nchi lakini hakuna Kiongozi aliye imara na madhubuti kuliko Baba wa Taifa. Viongozi wetu wengi wao ni Wasanii tu Maneno Mengi Vitendo vidogo asanteni.