VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
tulia weweKwani Obama ni mwenyekiti wa Democratic? Sasa kama Magufuli mnataka kumpa uenyekiti chama kitaisimamia vipi serikali? Upuuzi huu upo Tanzania peke yake.
Hivi huyu Uhuru Kenyatta naye ni mwenyekiti kwenye chama kilichompa ugombea urais?
Ukimya wa aliyekuwa mgombea wa Urais wa UKAWA,Edward Lowassa umezua mjadala kwenye mkutano wa Kamati Kuu ya CCM.Kikao cha Kamati Kuu kimefanyika jana hapa Dodoma.
Mjadala ulianza pale Mwenyekiti Kikwete alipochagiza maelezo yake ya chama kuendelea kufanya maandalizi ya chaguzi zijazo na kutobweteka. Mwenyekiti alisema kuwa Lowassa bado ana uungwaji mkono na nguvu ya kisiasa na hutumia ukimya kujijenga zaidi.
Mwenyekiti alionya kuwa Lowassa hakufika mwisho na chama chapaswa kuutazama ukimya wake wa kuchangia na kutoa hoja juu ya Serikali ya Rais Magufuli kwa jicho la tatu. Wajumbe wote wa KK walikubaliana na Mwenyekiti Kikwete.
Wakati huohuo,Rais Magufuli ameaswa kuwa 'mpole kiasi' atakapoukwaa uenyekiti wa taifa wa CCM mnamo mwezi Juni mwaka huu. Imesemwa kuwa wanachama wa chama cha siasa hutendewa mambo kwa upole ili wabaki chamani na kukijenga chama. KK imeunga mkono hatua za Rais na Serikali yake kutumbua majipu!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Hawawezi kumaliza vikao bila kumtaja lowassa mkuu.nguvu ya lowassa ni kubwa ndani na nje ya chama.Sasa Mzee Tupatupa hiyo ya kumjadili Lowassa ilikuwa ajenda yenu pia?Kuna ile kauli ya wale wapendao kuzungumzia watu na si Mambo yenye faida wanaitwaje vile....................Mwambie JK ameshatoka CCM asiendelee kumzungumzia Lowassa...............
Mkuu,lisilowezekana duniani hapa tanzania linawezekana.yaani ni mambo ya ajabu sana sasa ikitokea rais ndo mwenyekiti wa chama unatarajia nani atampinga hata kama akikosea?Kwani Obama ni mwenyekiti wa Democratic? Sasa kama Magufuli mnataka kumpa uenyekiti chama kitaisimamia vipi serikali? Upuuzi huu upo Tanzania peke yake.
Hivi huyu Uhuru Kenyatta naye ni mwenyekiti kwenye chama kilichompa ugombea urais?
Jibu hoja acha majibu mepesi kama ya chama chako.tulia wewe
Je maendeleo yameshapatikana, kwa kila kaya au ni kwa level gani?Ukimya au kelele za Lowassa hazina relevancy yeyote kwenye siasa za leo...this is a paradigm-shift...watu wanataka maendeleo sio kelele kwenye majukwaa
Hawawezi kumaliza vikao bila kumtaja lowassa mkuu.nguvu ya lowassa ni kubwa ndani na nje ya chama.
Jipe moyo.ila muda utaongea.Ukimya au kelele za Lowassa hazina relevancy yeyote kwenye siasa za leo...this is a paradigm-shift...watu wanataka maendeleo sio kelele kwenye majukwaa
Mkuu nadhani somo la uchumi limekupiga chenga...ni hivi...inaweza kukuchukua zaidi ya miaka 10 kugeuza meza za kiuchumiJe maendeleo yameshapatikana, kwa kila kaya au ni kwa level gani?
Sasa kama ni hivyo wewe umetumia kipimo gani kujua kwamba maendeleo yapo kwa wakati huu?Mkuu nadhani somo la uchumi limekupiga chenga...ni hivi...inaweza kukuchukua zaidi ya miaka 10 kugeuza meza za kiuchumi