Wakudadavia kapangiwa kazi ya kumchafua lowasa tu.
Hili lazima tulizungumze, Edward Lowassa ni mjumbe wa kamati kuu tena asiye na hata mwaka mmoja katika wadhifa huo lakini katika mikutano ya CHADEMA inashangaza kwani;
Hii ndio tunaita CHADEMA imegeuka kichwa chini miguu juu, watu wakisema kakinunua chama majibu ya hasira na matusi hutolewa, 'leta ushahidi'. kama kuna mwenye katiba ya CHADEMA atutolee ili tuweze kujua majukumu ya mbunge wa kamati kuu. Ikumbukwe Sumaye naye 'alizawadiwa' ujumbe wa kamati kuu kwanini hakai meza kuu?. Kuna maswali machache pia ya kujiuliza;
- Huingia wa mwisho na kulakiwa na mwenyekiti, ndugu Mbowe na, Makamu wenyeviti bara na Zanzibar, Katibu Mkuu na Manaibu.
- Hupanga mambo ya kujadliliwa katika mikutano
- Ana kura ya veto, kura yake ni ya turufu ni kubwa kuliko wajumbe wa mkutano wowote wa CHADEMA.
- Anakaa Meza kuu wakati wajumbe wa 'level' yake wanakaa viti vya kawaida.
- Posho yake ya kikao ni kubwa kuliko ya Mwenyekiti.
Tujadili kwa mapana na si mihemuko kamwe usitukane.
- Je thamani ya wajumbe wakongwe CHADEMA kama Prof. Baregu, Mabere Marando ni ndogo kulinganisha na Lowassa?
- Tundu yuko wapi wakati katiba ya CHADEMA inavunjwa?
Nenda lumumba kaulize kinana na ole sendeka nani boss sasa hivi

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Billion kumi alizotoa kuinunua chadema si ndogo lzm wamsujudie
Wale walishamaliza kazi baada ya uchaguzi kuisha, kilichobaki sasa ni utekelezaji tuu.Nenda lumumba kaulize kinana na ole sendeka nani boss sasa hivi
CCM ilishajengwa kwa Nondo na mawe. Jibuni hoja. Kwanini Lowassa anaingia wa mwisho kwenye kikao na kupokelewa na mwenye kigoda? Kwanini anakaa meza kuu, Sumaye viti vya kawaida?Ongea mikakati ya kujenga chama chako cha Lumumba huku Chadema kunakuwasha nini.
Protokali zenu wenye za kuwatumia watumishi wa uma kutangaza chama wananchi wamewastukia.
Hahahaaaaaàaaaaa. Umeua ndugu"Yanga haiwezi kukodishwa kama CHADEMA"
AKILIMALI
HA HA HA HA
kuna hoja ya kujibu hapa.