Lowassa aache uchonganishi, hakuna njaa nchini

Bw, Chiwinga, Je ni kweli hakuna baa la njaa? Kama ni uwongo iweje serikali itangaze kugawa chakula Tani mil. 1.5? Nao viongozi wa dini kutangaza baa la njaa ni wapumbavu kama wengine? Kupanda kwa bei ya mahindi na nafaka zingine? Je unaijua jiografia ya nchi yako? Labda ww ni Mrundi. Suala la Lowasa kutangaza njaa lina uhusiano gani na ranchi,richmond nk? Mpaka muda huu mikoa km Dodoma,Singida,Mara,Shinyanga,Kagera,Arusha,Manyara, na Tanga chakula hakipatikani. Naona ww ni kijana Muomba kibarua hapo Lumumba. Tumia UBONGO wako Acha kujazwa data fake na Uwe MZALENDO.
 
Kwa kuwa ujitambui,kisheria ata wewe unaweza kumshitaki kama unaisi kapotosha uma wa watanzania,pili vyote ulivyotaja avionyeshe au aviludishe au akwambie kavitoa wapi serikari yako imeshindwa pa kuanzia,wamejenga mahakama ya mafisadi umesikia Mamvi kapelekwa huko,kama kweli amechukua kimoja kati ya ulivyotaja kodi yako haiwezi kukosa nenda mahakamani kadai kama mtanzania na utakuwa umeokoa Mali ya wa Tanzania na utaonekana bora,sio kuleta umbea,usikaririshwe vitu akili za kuambiwa ongeza na zako,acha ualwatani wa kibwege.
 
Ukimya wa lowassa unawapasua vichwa kinoma naona. Wewe uliona wapi mwenye shibe akamjuwa wmenye njaa.,?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…