Lowassa 2015

Lowassa 2015

munyakwiringa

Member
Joined
Apr 14, 2015
Posts
65
Reaction score
8
Nimekua nikimfatilia Lowassa na nimebaini haya yafuatayo:
Lowassa pamoja na kuwa afya yake bado si nzuri lakini si dhaifu.
Nimekuwa nikifatilia anachozungumza na nimebaini kina nguvu kuliko watu wanavyotazama afya yake.
Ni tofauti na wagombea wengine na namna wanavyoongea wanaonekana wanaudhaifu wa kimamlaka tofauti na Lowassa.
Lowassa neno lake moja linanguvu zaidi ya wanavoongea wagombea wengine kwangu Mimi huyu ndo rais Wangu 2015.
 
Gonga "Like" hapa!
 
Back
Top Bottom