Lowasa & team kuwafuata Mramba na Yona Keko

Lowasa & team kuwafuata Mramba na Yona Keko

Teamubwabwa

Senior Member
Joined
Jul 7, 2015
Posts
172
Reaction score
59
Kumekucha stay tuned. Hiyo ndo hbari ya mjini baada ya tarehe 25.10.2015 wapo watakao tamani kurudi ccm baada ya kutukana sana Mkunga majukwaani. Lakini watajulishwa kuwa mlango umefungwa kilichobaki ni kuvuna kiile ulichokipanda.

Panya road na kaka poa njooni na matusi yenu.
 
Sasa kati team mibwabwa na panya road nani ni kaka poa?
 
Ha ha haaa..wenye sura za kondoo wanashindwa kuhimili joto la ngozi walizozivaa...wanavua mmoja mmoja. Lets wait
 
Kumekucha stay tuned. Hiyo ndo hbari ya mjini baada ya tarehe 25.10.2015 wapo watakao tamani kurudi ccm baada ya kutukana sana Mkunga majukwaani. Lakini watajulishwa kuwa mlango umefungwa kilichobaki ni kuvuna kiile ulichokipanda.

Panya road na kaka poa njooni na matusi yenu.
Gaddafi ni Rais wa Kuwait.

Swissme
 
It masaki wameishiwa sera au mlicho lishwa na february kimewaishaia
 
Balali na familia yake yote keko, Awe Hai Au Maiti, Escrow Wote, Dowans, Iptl, Tangold, Meremeta, NBC, Kiwira, Richmond, Pembe Za Ndovu, and Gvnmnt House,
kudadadeki Hapa Kazi Tu.
Mwisho CCM wote na Chadema baadhi Keko,
Sasa nani ataongoza nchi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom