acha kukatisha vijana tamaa, wako kitaifa zaidi, nyie mliohongwa na akina lowasa siku zenu zinahesabika. taifa kwanza!!!!Acha uppuzi bwana mdogo, unamaana gani MASHUHUDA WETU WA SIRINI, au ndo unatuletea habari zenu za TAARIFA ZA KIINTELIJENSIA.. Be critical, otherwise keep quiet, sio lazima kuchangia
khaa ! Kumbe utajiri wake kama bahari?! Kwani EL kawahi kufanya biashara gani?Poor you! Mkuu kufilisika kwake utasubiri sana kama ambavyo utasubiri siku ambayo Bahari ya Hindi itakapo ishiwa maji....
kwa mtu muadilifu na mwenye nia njema................kabisa kabisa ! ' Ikulu ni mzigo': J K Nyerere !
yule anayegombea ndiye mkwe wake au?
Kuna sehemu nimesema Chadema ni waongo kupita!inasemekana Mh. Lowasa, anahusika kwa kiwango kikubwa kuhakikisha kuwa Sioi Sumari anagombea Arumeru na kunyakua jimbo hilo ili ajiimarishe kisiasa kuelekea uchaguzi wa 2015, kutokana na mashuhuda wetu wa sirini lowasa alitoa Tshs 1b kama takrima kwa wapiga kura ili zitumike wakati wa uchaguzi
Mkuu Tshs. 1b kweli kwa Arumeru tu? Kila mpiga kura alipata kiasi gani? Mimi najua takrima za kitanzania huwa ni 5000 ikizidi sana 10,000.00. Kwa billion moja mbona atakuwa amemlipa kila mwananchi wa Arumeru na chenji kurudi?
Myisanzu, siyo chuki binafsi, ni woga wa kweli kabisa kwa hawa wana chadema kwamba, it is only EL whom they consider to deny Chadema entering Ikulu, come 2015! Katika mazingira hayo, hata wewe ungefanya hivyo ungekuwa huko!Hivi huo wivu wenu na chuki zenu binafsi dhidi ya EL hamuziachi?
Basi tuambie wewe alitoa sh. ngapi kama si bil. 1.Kuna sehemu nimesema Chadema ni waongo kupita!
Atakuwaje mkwewe na jina lake SIOI ?yule anayegombea ndiye mkwe wake au?
Duh! 1 billion wale Wameru na Wamasai hawawezi kuzimaliza itabidi nihamie huko kwa muda niwasaidie kutumia aisee!...kutokana na mashuhuda wetu wa sirini lowasa alitoa Tshs 1b kama takrima kwa wapiga kura ili zitumike wakati wa uchaguzi
Yap! Ndiye anayemliza binti wa Edward Ngoyai Lowassa Ndossi
God bless Lowassa, our choice for presidential post 2015.
Chaguo lenu na nani? Nyamb...f!
inasemekana Mh. Lowasa, anahusika kwa kiwango kikubwa kuhakikisha kuwa Sioi Sumari anagombea Arumeru na kunyakua jimbo hilo ili ajiimarishe kisiasa kuelekea uchaguzi wa 2015, kutokana na mashuhuda wetu wa sirini lowasa alitoa Tshs 1b kama takrima kwa wapiga kura ili zitumike wakati wa uchaguzi
inasemekana Mh. Lowasa, anahusika kwa kiwango kikubwa kuhakikisha kuwa Sioi Sumari anagombea Arumeru na kunyakua jimbo hilo ili ajiimarishe kisiasa kuelekea uchaguzi wa 2015, kutokana na mashuhuda wetu wa sirini lowasa alitoa Tshs 1b kama takrima kwa wapiga kura ili zitumike wakati wa uchaguzi