Lowasa kwa nini wewe tu

Lowasa kwa nini wewe tu

samlaza

Member
Joined
Nov 20, 2014
Posts
9
Reaction score
7
Hivi wanaccm hakuna wa kufuuatwa na makundi ya ushawishi zaidi ya Lowasa
 
Mbona wengi wameshafuatwa , lkn nashangaa wanavyomuandama Lowassa peke yake!
 
Hivi wanaccm hakuna wa kufuuatwa na makundi ya ushawishi zaidi ya Lowasa

hivi wanamfuata kumshawishi au wanafuata kula pesa tu za bwerere lakini mwisho wa siku hao hao wanamchinjia baharini? mtanzania msikie tu!
 
Mbona na mimi makundi yanakuja kunishawishi kila siku lakini bado nafikiria
 
Back
Top Bottom