Lowasa jifunze kwa mrema

Hoja yako sio ya msingi na haina nafasi kwa jamii ya sasa ,unaongelea miaka karibia 20 iliyopita...Wananchi wa sasa wameshtuka sanaaaa,uwaambii kitu,NCCR Mageuzi kipindi cha mrema sawa,.Leo hii tunaongelea Nccr Mageuzi,Cuf,Nld,Chadema..na umoja wao huo UKAWA.Huu mwaka CCM tulivyoichukia lazima waondoke tuu.,kwanza wameshaondoka tunasubiri kutimiza tuu wajibu wetu,,
 
Umepoteza muda kuandika hu upukupuku wako! Inaonekana ubongo wako ni dhaifuu! Watanzania tumechoka sasa na hizi propaganda zenu.
 
Hivi kwanini ccm mnakua na IQ ndogo kiasi hichi? Yaani uchaguzi wa 2015 ufananishe na wa 1995? Kipindi like CCM ililelewa na Nyerere lakini Leo ni chama la familia.Kuna tofauti kubwa Leo na miaka 20 iliyopita.
 
Nawashanga hao maharamia wanaoitolea macho gesi ambayo tayari imeuzwa kwa wachina
 
Hivi kwanini ccm mnakua na IQ ndogo kiasi hichi? Yaani uchaguzi wa 2015 ufananishe na wa 1995? Kipindi like CCM ililelewa na Nyerere lakini Leo ni chama la familia.Kuna tofauti kubwa Leo na miaka 20 iliyopita.

mrema alishinda na alitangazwa na radio zanzbar huko ....lakn mmmm h
 
Lowasa ndiye chaguo la wengi na tuna imani nae, Mabadilikooooooooooooo.......Lowasaaaaaaaaaaaaa...............
 
Hayo yte twayajua w ucpoteze mda bnafc saiv nataka mgonjwaan mana anaweza consider ma hospital 7b tumechagua wasio Wagonjw 50 years nothing was done
 
Mnaofikiri kila siku ni jumapili,msubiri tarehe 25 oktoba watanzania tunakwenda kuandika historia mpya kwa kuilaza chali CCM.
 
Lowasa tunahitaji kuingia kaanani nchi ya ahadi, maziwa na asali tere. Ccm wanatuonyesha tu lkn wameshindwa kutuingiza 7b ya zambi zao asante Lowasa kwa kuteuliwa na Mungu.
 
Umepoteza muda kuandika hu upukupuku wako! Inaonekana ubongo wako ni dhaifuu! Watanzania tumechoka sasa na hizi propaganda zenu.

Penda kusikia usivyopenda kusikia
Lowasa hatopata kitu mwaka huu
 
Hayo yte twayajua w ucpoteze mda bnafc saiv nataka mgonjwaan mana anaweza consider ma hospital 7b tumechagua wasio Wagonjw 50 years nothing was done

We upimwe akili ww
Huenda una malaria

Miaka hamsini hakuna kilichofanyika?
Nna wasiwasi na upeo wa akili yako
 
We jamaa umepotoka na umechelewa. Kalime vitunguu tutanunua achana na uchambuzi wa kisiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…