Lowasa hazina ya CCM 2015

cdm wakimuunga mkono hapo nitaamini ukweli kuwa binaadamu tuna tabia za wanyama tena cdm viongozi na wanachama wake watakuwa na tabia za mnyama yule mwenye kutoa kinyesi na baadae kufanya msosi. kwani cdm ndiyo walitangaza kuwa EL ni fisadi mwandamizi leo aonekane anafaa eeh hiyo ni ajabu na kweli.
 
Back
Top Bottom