Lowasa hazina ya CCM 2015

Lowasa hazina ya CCM 2015

MPAMBANAJI.COM

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2011
Posts
712
Reaction score
332
Katika hali isiyo ya kawaida ktk pitpita zangu inaonekana Lowasa anakubalika sana na wananchi wengi kwamba anauwezo mkubwa sana wa kufanya maamuzi ya kiuongozi na endapo atakubali kutangaza nia wengi pia kutoka CDM watamuunga mkono.Wengi hawaamini yakuwa EL alikua na makosa ya kiutendaji alipokua waziri Mkuu kwani hakuna maamuzi yeyote yakumchukulia hatua kutokana na yaliyotokea hadi kujiuzulu.Ingekua kweli ndiye katenda basi lazima sheria ingefuata mkondo wake kwa hasara ya pesa zilizotokea.Wazee wengi wnamfahamu Lowasa, nadhani hii ni kutokana na nyadhifa zake kiserikali na namna alivyoongoza wizara n taasisi za kiserikali enzi ya uongozi wake.Bila shaka vijana wengi pia wnamkubali.Umri si tija kwake tija ni utendaji wake kwa Watanzania.Natamani sana kumuona akichukua fomu ya urais kwa 2015 kadri ya zawadi ya uhai kutoka kwa Mwenezi Mungu.
Lowasa ni mtaji mzuri sana kwa Tanzania kisiasa, kiuchumi na kijamii.

Nawasilisha.
 
Mi ntampa kura, kama atamlipua Mjomba kabla ya 2013!
 
Mmh! tumeshaanza kulewa vijipesa vya hazina ya CCM 2015.....na njaa iliyopo sasa hivi...!
 
Huo ndio ukweli. Lowassa ni Kagame wetu 2015.God bless EL.
 
jamaa lazima achukue usukani... unafanya mchezo na mkwanja mnene...
 
namkubal sana mr el,n mchapakazi sana wanajf,anaweza kutoa maamuz magumu
 
Arudishe alichokwapua na pili aseme ukweli kuhusu Richmond.Pili hivi watanzania tumekuwa wapumbavu kiasi kwamba hatuoni ukweli?Hakuna mtanzania mwingine msafi ila Lowasa tu.Amewapa shilingi ngapi?Inatia uchungu kuona watanzania hatutaki katu kujifunza.Kila siku CCM tuuuuuuuuuuuu
 
Labda kama mnataka vilivyo bakia, ambavyo wa sauzi hawaja somba, vielekezwe Dubai.

Hata na sisi tutawekezwa Dubai na Malaysia. TAFAKARI.
 
Henge, IQ yako ni below 20 so wewe ni IDIOT. Mirembe wanakusubir
 
hata mimi naona EL anachelewa mwenyewe tu, siaweke mambo azarani.

kama jina lake kuchafuka limeshachafuka sana kwa tuhuma zisizo muhusu mwenyewe,

EL, maliza kabisa kama ni mbaya na iwe mbaya.
 
Katika hali isiyo ya kawaida ktk pitpita zangu inaonekana Lowasa anakubalika sana na wananchi wengi kwamba anauwezo mkubwa sana wa kufanya maamuzi ya kiuongozi na endapo atakubali kutangaza nia wengi pia kutoka CDM watamuunga mkono.Wengi hawaamini yakuwa EL alikua na makosa ya kiutendaji alipokua waziri Mkuu kwani hakuna maamuzi yeyote yakumchukulia hatua kutokana na yaliyotokea hadi kujiuzulu.Ingekua kweli ndiye katenda basi lazima sheria ingefuata mkondo wake kwa hasara ya pesa zilizotokea.Wazee wengi wnamfahamu Lowasa, nadhani hii ni kutokana na nyadhifa zake kiserikali na namna alivyoongoza wizara n taasisi za kiserikali enzi ya uongozi wake.Bila shaka vijana wengi pia wnamkubali.Umri si tija kwake tija ni utendaji wake kwa Watanzania.Natamani sana kumuona akichukua fomu ya urais kwa 2015 kadri ya zawadi ya uhai kutoka kwa Mwenezi Mungu.
Lowasa ni mtaji mzuri sana kwa Tanzania kisiasa, kiuchumi na kijamii.

Nawasilisha.

Hivi kumbe bado mpo watu wachache ambao bado mnahangaika kuisafisha hii maiti hai...kila la kheri katika kazi hiyo ngumu iliyowashinda wengi akiwemo januari makamba na kuamua kuachana nayo kuangalia ustaarabu mwingine..
 
Watanzania zaidi ya Milioni 40 yaani fisadi Lowassa ndo mnamuona anafaa kuwa rais? Kweli nimeamini watanzania tumerogwa!
 
Back
Top Bottom