lohasa yuko sahihi. hakuna mwenye uwezo wa kupambana naye ndani ya ccm kamwe. alishahonga wajumbe karibuwote wa NEC na mkutano mkuu wa ccm.
Aje auchukuee urais basi kama hakuna wakumkata. Mbona hadi leo bado anazunguka wakati alikuwa wa kwanza kuchukua fomu.
Pesa ni suluhisho la mambo yote, mwenye hekima wa zamani alipata nena.
Ameanza kubwabwaja povu zito.
Kumbe bado anaendelea tu kutishia nyau
Soma nyakati cku hizi watu hawatishiki kwa pesa za mtu.
Ccm wakimkata lowasa basi nawapa kura ukawa bila kinyongo