Hata Osama alivyokuwa anawauwa watu alikuwa anamtaja mungu, hata yule wa ISIS naye alivyokuwa anachinja watu alikuwa anamtaja mungu, mchawi naye anaomba mungu.
Kwahyo hujakosea kusema ni chaguo la mungu ila sijajua ni mungu yupi unayemsema ww.
Ila mm ninachojua ni kuwa lowasa hawezi kuwa chaguo la Mungu huyu Mungu mkuu muumba wa mbingu na nchi na vitu vyote vinavyoonekana na visivyo onekana.