Huyu mchunga ng'ombe anapenda ubosi sana.
anapenda ukubwa baraaa..ukitaka kuamini waulize aliofanya nao kazi
Ndio maana wazungu huchukua muda mfupi sana kijua tabia ya mtu ikoje kupitia maandishi au maongezi yake.
Acha kuabudu wazungu wewe.
Siwaabudu ila ndio njia pekee wanayotumia kujua tabia ya binadamu kwa urahisi. Tofauti na sisi huwa tunapenda kupeleleza kwa watu.
Kuna mwenzako mmoja tena ni mtangazaji wa redio kabisa(ile Clouds FM), siku moja yupo hewani alikuwa anaongea utumbo ambao siwezi kusahau mpaka nakufa, eti alikuwa anasema,"Wenzetu wazungu mtu akimaliza kujisaidia anaangalia kinyesi chake kujua afya yake inaendeleaje".
Yaani aibu niliona mimi. Nikawa najiuliza nani kampa kazi ya utangazaji huyu poyoyo!
Arguing with a fool means there are two fools.
There's only one fool here. The one who's worshiping white people.
We ni mpumbavu wa kwanza kwa kutokubali ukweli.
Habari ya mjini ni Kumagufulika v/s Kulowasika aka kujiny... hahaaaaaKupenda Kwake Ukubwa Hakushindi Anavyopenda KU GEITIKA Hakyanani Nakuambia Mkuu.