YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,003
Ukimtizama kiundani Lowasa amezoea siasa za kiutu uzima hajazoea siasa za kitoto.CHADEMA kwa sasa kuna makundi makuu mawili.Kuna lile linalotaka kuendesha CHADEMA kisayansi na kisiasa za kiutu uzima na kuna kundi niliite la watoto wa BAVICHA ambalo ni la vijana linalopenda siasa zile za kitoto za mtoto mtukutu za kuonyesha utukutu hapa na pale katika siasa zao.
Swali Lowasa ataliweza hilo kundi kulifanya lisalimu amri kwake? Naona hilo kundi litamsumbua sana wakati akijiandaa kuichukua CHADEMA rasmi mwakani kama mwenyekiti litampa shida.
Swali Lowasa ataliweza hilo kundi kulifanya lisalimu amri kwake? Naona hilo kundi litamsumbua sana wakati akijiandaa kuichukua CHADEMA rasmi mwakani kama mwenyekiti litampa shida.