Hizo ni ndoto za wendawazimu, Tupo wenye akili timamu na peremende anazowagawia hazitafua dafu ni siku tu zimebaki, hapo ndipo mtakapotambua kilichomtoa kanga manyoya ... ... .... bring them on hawa wezi wa kisasa ambao wanafikiri Watanzania tuliokwenda shule ni wajinga.
Huyo mcheza kamari na tajiri wa malaya kawauzia mbuzi kwenye gunia mnapiga ukelele kama mmepagawa. Jambazi sugu haliwezi kuongoza nchi hii ng'ooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo.
Anachubiri kuapishwa kuchunga ng'ombe Monduli hilo tunakubaliana halina ubishi.