ZZK??????? Wana-kigoma mmerogwa?? Kwani Kigoma Kaskazini kawafanyia nini mpaka mumpe??majuzi nilikuwa kigoma mjini kila mtaa ni lowassa ubunge atachukua zzk.
Fafanua kidogo!Inawezekana lowasa akawa rais lakin co rahisi kama tunavyofikiri uchaguzi ni zaidi ya kupiga kura
Ndugu zangu katika pitapita yangu kila MTU anasema atamchagua lowasa .hata wanachama wa ccm ninaokutana nao wanasema lowasa .kweli jamaa nyota yake IPO juu.basi asubiri kuapishwa tuu
Hivi lowasa akiwa rais mungu apishe mbali netwk ikakatika, babu duni anakuwa rais wa JMT! Ukawa acheni mzaha kwa kweli.
Hivi wewe unayemtukana raisi matusi ya nguoni. Kwamba anajinyea kwanini usingegombea wewe mbwa mla mavi. Hauna haya. Mimi nimeisoma katiba inasema "kila mtu ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa...." wagombea wote ni sawa na wanahaki kikatiba pumbavu mkubwa. Unashindia kuangalia pono na stori za udaka badala ya kusoma vitu vya msingi. Lowasa, magufuli, hashim, anna,limo....! Wana haki sawa. Mjinga wewe.