Josephine Mushumbusi na ndoto za u first gelo frend.
ninasema bila lowasa,chenge na rostam ccm itabomoka tu nasema haya sababu ndio waliomuweka kikwete kwa pesa zao na mtandao wao na ndio waliofanya ccm ishinde 2005 2010 anayebisha aseme ndani ya ccm kwa kupiga kura za kawaida ccm itapat 30%ya idadi yoyote ya wapiga kura tanzania hii ajitokeze kiongozi yetote aseme hadharani kuwa ccm itapiku chadema 2015 huwezi kuwaita mafisadi watu 3 ndani ya chama chote wakati wote wameingizwa kwa pesa za hao watatu.sokoine alifanikiwa kuwakamata mafisadi wa kipindi kile sababu alikamat mtandao wote leo hii kikwete hatafanikiwa sababu baraza lote la mawaziri ni matokeo ya pesa chafu sasa mjiandae kumeguka na 2015 mtaelewa maana hii hongera lowasa kwa ujasiri

jifunze lugha ya busara unapozungumza publicalyyhawala wa slaa at work
Andrews, bora umesema wewe, waambie na wasikie, tukisema sisi tutaambiwa tumeshikishwa kidogo dogo!.ukinihitaji binafsi nitakupa simu no yangu tujadili,lakini Lowasa katolewa kafara na kiukweli hakuna hata mmoja ndani ya ccm (viongozi)wakusema lowasa ni fisadi na yeye hayuko ndani ya ufisadi ni uongo cha msingi ccm ingekuwa makini ingepanguwa wazee wote ndani ya chama ambao hawana mvuto na mafisadi wangetolewa ili kunusuru chama kwa mpango wake wa kusema lowasa,chenge ndio mafisadi ni uongo na hili litakiangamiza chama lowasa ni kiongozi bora na shupavu
Slaa atawaumiza sana kichwa!Hawala wa Slaa at work
Josephine Mushumbusi na ndoto za u first gelo frend.
hivi Uhawala/Uchumba huwa hauna kikomo?? maana nimeanza kusikia siku nyingi sana habari ya eti Mchumba wa Slaa huku Sheria ya ndoa ikisema kuwa Mtu ukiishi na mwenza wako kwa miezi 6 mfululizo hiyo no Implied Marriage - Mpeni hadhi yake bwana lets call her Mrs Slaa-the next 1st ladyHawala wa Slaa at work
Andrews, bora umesema wewe, waambie na wasikie, tukisema sisi tutaambiwa tumeshikishwa kidogo dogo!.
Natoa wito kwa wana jf wote wenye mapenzi mema na nchi hii, tuunganishe nguvu kwa umoja wetu, tuombe EL asimamishwe kuwa mgombea wa CCM mwaka 2015 ili rais atoke Kaskazini na Tanzania tupate ukombozi wa pili na wa kweli kwa taifa letu!.