Lowasa amezika upinzani asilia (original)

Lowasa amezika upinzani asilia (original)

Tunataka rais wa Taifa ,, hayo mambo ya vyama yameshapitwa na wakati.. Rais mwenye mapenzi na Taifa,sio chama.. Mambo ya mapenzi vyama ndio yanaturudisha nyuma,, CCM imechoka,ipunzike tunataka mabadiliko
Kama umeshindwa kutambua laki ni pesa, unataka mabadiliko gani?
 
Asante kwa hiyo taarifa, hata mi naona hivyo hivyo Mbunge na madiwani wa CHADEMA/Ukawa watapata kura, ila ya rais Lowasa hapati kwa sababu bado sijajua kwanini anatumia nguvu kubwa kwenda Ikulu. Pia naona hafai kuwa rais, ila pesa zake basi zitatafunwa vya kutosha. Mtu anayefaa huwa hatumii nguvu kubwa hivyo. Pole yake. Ikulu atahadithiwa tu.

Mnatekenyana na kucheka wenyewe..
 
cha muhimu ni ccm iondoke madarakani, hayo mambo mengine ya upinzani yatakuja kufikiriwa baadayeeeeee.

Hilo ndilo lengo hayo mengine ni mapambio tu ambayo yamezoeleka. Hiki ni kizazi tofauti kina uelewa mkubwa na kinataka mabadiliko kwani hakioni maendeleo ya uchumi wa taifa lao wala wa mtu mmoja mmoja.Kubwa la kuzingatiwa na tume ya uchaguzi ni kutoa haki kwa chama kitachoshinda na serikali ili kuepusha vurugu na vita wakubali kukabidhi madaraka upande utakaoshinda.
 
Kama yeye anatutumia kuingia ikulu, sisi tunamtumia kuitoa ccm kwani serikali atakayoiunda itatoka ukawa...
 
Tunataka rais wa Taifa ,, hayo mambo ya vyama yameshapitwa na wakati.. Rais mwenye mapenzi na Taifa,sio chama.. Mambo ya mapenzi vyama ndio yanaturudisha nyuma,, CCM imechoka,ipunzike tunataka mabadiliko

Hatutaki vita na Malawi na majirani zetu ..huyu jamaa ana mihemko kama mja mzito ndo apewe nchi? sisi wasomi tuanakataa achilia mbali afya yake bado tunaithamini amanu yetu juu ya utajiri anaouhubiri wakati kwao hata shule hazina madawati wala maji safi, kama anachukia umaskini kwanini ameehindwa kulifanya jimbo lake kati ya majimbo ya mfano hapa Tz?
 
Back
Top Bottom