Lowasa amezika upinzani asilia (original)

Dopas

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2010
Posts
1,151
Reaction score
392
Ni swali tu,
Kwanza tunafahamu kuwa Lowasa hana mapenzi ya dhati na chama chochote cha upinzani, na ni kwasababu hiyo upinzani ulikuwepo miaka zaidi ya ishirini lakini hajawahi hata kuufikiria. Aliipenda CCM ambayo leo anaitukana. Alikuwa FISADI, leo msafi.
Hana na hakuwahi kutaka kuleta ukombozi wa kweli wa mtanzania. Sera za CHADEMA na vyama vingine vya upinzani daima zilijipambanua ukombozi wa mtanzania. Kuiondoa CCM madarakani ilikuwa sera za vyama hivyo. Je, asingekatwa jina angeimba sera gani leo? Ni unafiki tu na kujiaibisha mtu mzima kama yeye. Juzi tu alikuwa kijani kwa nguvu zote, leo eti magwanda, atuaminishe eti ana nia thabiti ya kuiondoa CCM madarakani.
Nasikitika CHADEMA na vyama vingine vya upinzani vilijengwa kwa miaka 20, kwa taabu kubwa, lakini Lowasa pamoja na timu yake wataiua ndani ya mwaka moja. Hata kama Ikulu ataingia, jambo ambalo binafsi naona hadi muujiza uwepo.
Lowasa mapenzi yake ni Ikulu tu, ambayo anatumia nguvu zote iwezekanazo ili aipate. Lowasa hana nia thabiti ya kuiondoa CCM madarakani, hana mapenzi ya dhati kwa UKAWA. Kwake yeye UKAWA ni kama ngazi tu, nia yake ni Urais, na asipoupata?
Ila amefanikiwa kuzizika siasa za kweli za upinzani, walio na uchungu na Nchi hii.
Zimebaki siasa feki kama bidhaa za kichina.
 
Tunataka rais wa Taifa ,, hayo mambo ya vyama yameshapitwa na wakati.. Rais mwenye mapenzi na Taifa,sio chama.. Mambo ya mapenzi vyama ndio yanaturudisha nyuma,, CCM imechoka,ipunzike tunataka mabadiliko
cha muhimu ni ccm iondoke madarakani, hayo mambo mengine ya upinzani yatakuja kufikiriwa baadayeeeeee.
 
Ni swali tu,
Kwanza tunafahamu kuwa Lowasa hana mapenzi ya dhati na chama chochote cha upinzani, na ni kwasababu hiyo upinzani ulikuwepo miaka zaidi ya ishirini lakini hajawahi hata kuufikiria. Aliipenda CCM ambayo leo anaitukana. Alikuwa FISADI, leo msafi.
Hana na hakuwahi kutaka kuleta ukombozi wa kweli wa mtanzania. Sera za CHADEMA na vyama vingine vya upinzani daima zilijipambanua ukombozi wa mtanzania. Kuiondoa CCM madarakani ilikuwa sera za vyama hivyo. Je, asingekatwa jina angeimba sera gani leo? Ni unafiki tu na kujiaibisha mtu mzima kama yeye. Juzi tu alikuwa kijani kwa nguvu zote, leo eti magwanda, atuaminishe eti ana nia thabiti ya kuiondoa CCM madarakani.
Nasikitika CHADEMA na vyama vingine vya upinzani vilijengwa kwa miaka 20, kwa taabu kubwa, lakini Lowasa pamoja na timu yake wataiua ndani ya mwaka moja. Hata kama Ikulu ataingia, jambo ambalo binafsi naona hadi muujiza uwepo.
Lowasa mapenzi yake ni Ikulu tu, ambayo anatumia nguvu zote iwezekanazo ili aipate. Lowasa hana nia thabiti ya kuiondoa CCM madarakani, hana mapenzi ya dhati kwa UKAWA. Kwake yeye UKAWA ni kama ngazi tu, nia yake ni Urais, na asipoupata?
Ila amefanikiwa kuzizika siasa za kweli za upinzani, walio na uchungu na Nchi hii.
Zimebaki siasa feki kama bidhaa za kichina.
Kura yako ina thamani. Tarehe 25 Oktoba mpigie kura mbunge na diwani wa chadema, urais mpe Magufuli Pombe ili liwe funzo kwa hawa waliouza chama chetu. Tukipata majority bungeni tutakuwa na uwezo wa kumdhibiti rais wa ccm.
 
Akili ndogo hizo.... Huna lolote, Lowassa rais
 
Kura yako ina thamani. Tarehe 25 Oktoba mpigie kura mbunge na diwani wa chadema, urais mpe Magufuli Pombe ili liwe funzo kwa hawa waliouza chama chetu. Tukipata majority bungeni tutakuwa na uwezo wa kumdhibiti rais wa ccm.
Asante kwa hiyo taarifa, hata mi naona hivyo hivyo Mbunge na madiwani wa CHADEMA/Ukawa watapata kura, ila ya rais Lowasa hapati kwa sababu bado sijajua kwanini anatumia nguvu kubwa kwenda Ikulu. Pia naona hafai kuwa rais, ila pesa zake basi zitatafunwa vya kutosha. Mtu anayefaa huwa hatumii nguvu kubwa hivyo. Pole yake. Ikulu atahadithiwa tu.
 
Basi washauri wamrudishe ccm awe mgombea wao halafu Magufuli ajitoe uone matokeo
 
Ni swali tu,
Kwanza tunafahamu kuwa Lowasa hana mapenzi ya dhati na chama chochote cha upinzani, na ni kwasababu hiyo upinzani ulikuwepo miaka zaidi ya ishirini lakini hajawahi hata kuufikiria. Aliipenda CCM ambayo leo anaitukana. Alikuwa FISADI, leo msafi.
Hana na hakuwahi kutaka kuleta ukombozi wa kweli wa mtanzania. Sera za CHADEMA na vyama vingine vya upinzani daima zilijipambanua ukombozi wa mtanzania. Kuiondoa CCM madarakani ilikuwa sera za vyama hivyo. Je, asingekatwa jina angeimba sera gani leo? Ni unafiki tu na kujiaibisha mtu mzima kama yeye. Juzi tu alikuwa kijani kwa nguvu zote, leo eti magwanda, atuaminishe eti ana nia thabiti ya kuiondoa CCM madarakani.
Nasikitika CHADEMA na vyama vingine vya upinzani vilijengwa kwa miaka 20, kwa taabu kubwa, lakini Lowasa pamoja na timu yake wataiua ndani ya mwaka moja. Hata kama Ikulu ataingia, jambo ambalo binafsi naona hadi muujiza uwepo.
Lowasa mapenzi yake ni Ikulu tu, ambayo anatumia nguvu zote iwezekanazo ili aipate. Lowasa hana nia thabiti ya kuiondoa CCM madarakani, hana mapenzi ya dhati kwa UKAWA. Kwake yeye UKAWA ni kama ngazi tu, nia yake ni Urais, na asipoupata?
Ila amefanikiwa kuzizika siasa za kweli za upinzani, walio na uchungu na Nchi hii.
Zimebaki siasa feki kama bidhaa za kichina.

Toeni povu mnavyoweza lkn CCM itoke kwanza mambo mengine baadae ikiwa mlikaa mamlakani zaidi ya 50yrs km hamkutosheka sasa mkae pembeni
 
Kura yako ina thamani. Tarehe 25 Oktoba mpigie kura mbunge na diwani wa chadema, urais mpe Magufuli Pombe ili liwe funzo kwa hawa waliouza chama chetu. Tukipata majority bungeni tutakuwa na uwezo wa kumdhibiti rais wa ccm.
Mawazo ya kitoto, na kiuoga uoga,

Kwanini mnaogopa sana vyama vya upinzani kushika hatamu?

Woga wa upinzani kushika nchi ndio uliomkimbizia Lipumba Rwanda, Unakuta mtu anavisapoti vyama vya upinzani lakini anafurahia vikiendelea kuwa vyama vya upinzani miaka yote! This time we will teach you and your likes the lesson!

LOWASSA will be the state leader via UKAWA.
 
Mawazo ya kitoto ni kudhani fisadi lowasa ni mpinzani. Mtu mzima mwenye akili hawezi kuambiwa lowasa kabembelezwa kujiunga CDM kwa kuwa anakuja na mamilioni nyuma yake bila hata kuambiwa ni mamilioni mangapi. Can you buy that stupidity?!
 
Kura yako ina thamani. Tarehe 25 Oktoba mpigie kura mbunge na diwani wa chadema, urais mpe Magufuli Pombe ili liwe funzo kwa hawa waliouza chama chetu. Tukipata majority bungeni tutakuwa na uwezo wa kumdhibiti rais wa ccm.

Nakuunga mkono mkuu.
 
Huo upinzani asili umeanza kuupenda toka lini, wakati muda wako mwingi hapa JFuliutumia kukandia wapinzani?

mkuu hachana na haya majitu majinga kweli,

wewe umeshawai kuona wapi mtu anamsikitikia adui yake?

Ukiona hivyo ujue siku zao za kuendelea kuishi madarakani zinahesabika,
 
mapenz na chama bila kuwa na mapenz na nchi ni sawa na kupenda mtoto bila kumpenda mama
 
Back
Top Bottom