Lowasa alijiuzulu kwa sababu ya wengine

Lowasa alijiuzulu kwa sababu ya wengine

Ccm mnalazimisha mambo.. Edward kashatoka ccm. Mnamtajataja wa nini? Mmeacha kumtaja Magufuli wenu. Mnaangaika na Lowassa.. Tuachieni Lowassa. Ndio chaguo letu watanzania.. Nyie wote mnaosema fisadi. Ni kama washenga mnatumwa kufanya mazungumzo lakin mwenyewe anaye watuma ajasema kitu.. Mtakimbilia wapi mwaka huu.. Lazima mkae chini..
 
Waziri aliyekuwa mzembe hafai ata kuwa rais maana kashatuonesha uzembe
 
Chadema ndio walio m brand lowasa kwa ufisadi.

Sasa hivi chadema hao hao wana m brand lowasa kama mleta mabadiriko.

Swali je ajenda ya ufisadi ilikuwa ni ajenda binafsi na sio ya chama?

Kama ilikuwa ya chama,je mnakiuka maadili na miikomliyo jiwekea wenyewe?

Kama ilikuwa ajenda binafsi,je ajenda ya kubadirishia gia angani ni ya nani na kwa maslahi yapi?

Kamali iliyochezwa it is better be worth.
 
Alisema yeyote mwanye ushaidi apeleke Mahakamani if not shut-up.
 
Back
Top Bottom