eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Kama ripoti ya mwakiembe inamtaja lowasa kama mtu anaestahili kuwajibika kwa sababu ya makosa ya watu wengine kisa tu alikua waziri mkuu sasa hayo maneno ni fisadi wa Richmond yanatoka wapi? Ripoti inasema kulikua tu na mawasiliano kutoka kwa waziri mkuu kitu ambacho ni kawaida kwa kua kwa cheo chake ni lazima ajue kinachoendelea na hapa ndipo ninapomwelewa lowasa kua aliona matatizo haya ya Richmond na ndipo alipotaka kuvunja mkataba lakini ngazi ya juu yake ilimkatalia. Ningeomba wamwache lowasa ni mtu safi kuhusu hilo