Lowasa ajiandae kufungishiwa virago CCM.

Joined
Jan 16, 2014
Posts
28
Reaction score
10
kwa mara ya kwanza vijana wa ccm wamepata ujasiri na kusema ya moyoni juu ya vitendo vya rushwa iliyokithiri kwa baadhi ya viongozi ndani ya chama hicho. Ilikuwa kawaida kwa wengine tusio ndani ya chama hicho tukihoji rushwa za nje nje za kiongozi kwa viongozi wa dini, viongozi wa chama chake na wananchi wa kawaida kuonekana tunampaka matope maana sisi tu wapinzani tu lakini haya ya kina paul makonda yamefungua mapya. Wapo ambao bado wanafanya kila juhudi kumsafisha kiongozi huyu ama kwa kuwa ni wanufaika wa rushwa anazozitoa ama kwa kuahidiwa nafasi mbalimbali lakini naamn kwenye nafsi zao wanajua ukweli kwamba Lowasa ni fisadi na fedha anazitoa ni matokeo ya wizi mkubwa alioufanya akiwa kiongozi mkubwa wa serikali. ukitathmni jumla fedha zote alizotoa sasa ambazo si chini ya Bil 1 na ushee lazima upate ukakasi kuamin kwamba fedha hizo anazomwaga alizipata kihalali. Hii ni kwa sababu mishahara ya wabunge inafahamika na mishahara ya mawaziri inafahamika kwa hivyo hata kama asingetumia hata senti moja ya mishahara yake bado asingeweza kuwa na fedha za kumwaga kwa wingi na laana kama hivi sasa. KIle anachokidai safari ya matumaini ni machakato wa kihuni na wa kifisadi unaotegemea fedha ili kumwezesha kushinda nafasi ya urais. Lowasa hatambui kuwa nia ya dhati, utu wema na uzalendo ndio sifa kuu za kumfanya mtu kuwa kiongozi bora kwani kama utajiri na uwezo wa kuhonga ndio ingekuwa kupata urais basi matajr kama Bilget ndo wangekuwa marais. Ni mda sahih kwa CCm na vyama vingine kuziba milango kwa mafisadi wote kupata nafasi katika serikali na kuwaachia watu wasafi kugombea nafasi hzo. NAAMINI ANGUKO LA LOWASA ITAKUWA NI FUNDISHO KWA MAFISADI WOTE NA VIBARAKA WAO. 2015 BILA RUSHWA INAWEZEKANA.
 
nachoshangaa ni kwa nn bado CCM bado wanamkumbatia pamoja na ubadhilifu wake wa kutisha? Kwann wanashindwa kufanya maamuzi ya Chadema ya kumtimua na kuwaacha wasafi? There must be something they can do to stop him, the devil is selling our country openly
 
hata kama hamna wa kumfukuza hamna, anguko lake liko njian. Mshahara wa dhambi ni mauti.
 
Huyu wakimfukuza watamtunzia staha. wasubiri tummwage kwenye uchaguzi tu ili iwe fundo kwa wengine kwamba pesa sio kila kitu kwenye siasa, utahonga wapigakura lakini hautawapigia kura siku ya mwisho. isitoshe huu mda wa vijana bana.
 
kwa mara ya kwanza vijana wa ccm wamepata ujasiri na kusema ya moyoni juu ya vitendo vya rushwa iliyokithiri kwa baadhi ya viongozi ndani ya chama hicho. Ilikuwa kawaida kwa wengine tusio ndani ya chama hicho tukihoji rushwa za nje nje za kiongozi kwa viongozi wa dini, viongozi wa chama chake na wananchi wa kawaida kuonekana tunampaka matope maana sisi tu wapinzani tu lakini haya ya kina paul makonda yamefungua mapya. Wapo ambao bado wanafanya kila juhudi kumsafisha kiongozi huyu ama kwa kuwa ni wanufaika wa rushwa anazozitoa ama kwa kuahidiwa nafasi mbalimbali lakini naamn kwenye nafsi zao wanajua ukweli kwamba Lowasa ni fisadi na fedha anazitoa ni matokeo ya wizi mkubwa alioufanya akiwa kiongozi mkubwa wa serikali. ukitathmni jumla fedha zote alizotoa sasa ambazo si chini ya Bil 1 na ushee lazima upate ukakasi kuamin kwamba fedha hizo anazomwaga alizipata kihalali. Hii ni kwa sababu mishahara ya wabunge inafahamika na mishahara ya mawaziri inafahamika kwa hivyo hata kama asingetumia hata senti moja ya mishahara yake bado asingeweza kuwa na fedha za kumwaga kwa wingi na laana kama hivi sasa. KIle anachokidai safari ya matumaini ni machakato wa kihuni na wa kifisadi unaotegemea fedha ili kumwezesha kushinda nafasi ya urais. Lowasa hatambui kuwa nia ya dhati, utu wema na uzalendo ndio sifa kuu za kumfanya mtu kuwa kiongozi bora kwani kama utajiri na uwezo wa kuhonga ndio ingekuwa kupata urais basi matajr kama Bilget ndo wangekuwa marais. Ni mda sahih kwa CCm na vyama vingine kuziba milango kwa mafisadi wote kupata nafasi katika serikali na kuwaachia watu wasafi kugombea nafasi hzo. NAAMINI ANGUKO LA LOWASA ITAKUWA NI FUNDISHO KWA MAFISADI WOTE NA VIBARAKA WAO. 2015 BILA RUSHWA INAWEZEKANA.

Katiba mpya eweke wazi kuwa sifa ya mtu kugombea ubunge au raisi apate "Personal tax clearance" inayojumuisha biashara zake zote
 
hili ni anguko la CCM na sio la Lowassa.

leo tunasubiri matamko ya uvccm kutoka mikoa mbalimbali,ni matamko yatakayopingana na tamko la uvccm taifa.

hii sinema bado mbichi,'

jina la sinema hii ni 'CCM VIPANDE-VIPANDE' with 3G
 
nachoshangaa ni kwa nn bado CCM bado wanamkumbatia pamoja na ubadhilifu wake wa kutisha? Kwann wanashindwa kufanya maamuzi ya Chadema ya kumtimua na kuwaacha wasafi? There must be something they can do to stop him, the devil is selling our country openly

hakuna CCM bila Lowasa.
taswira ya ufisadi ndo taswira kuu ya ccm.
 
hili ni anguko la CCM na sio la Lowassa.

leo tunasubiri matamko ya uvccm kutoka mikoa mbalimbali,ni matamko yatakayopingana na tamko la uvccm taifa.

hii sinema bado mbichi,'

jina la sinema hii ni 'CCM VIPANDE-VIPANDE' with 3G

Kweli kiongoz maana lazima jana pesa zimetembea kutengeneza matamko ya kupinga baadae itakuwa kituko. Sio mda wa kucheza mbali na media na social networks
 
Back
Top Bottom